Natafuta kazi halali nipo Mbeya

Upo tayari kufanya kazi kijijini?
 
check Igawilo pale na Ivumwe.
 
Dunia inaenda mbio sana, chem & bio miaka hii mtu anatafuta kazi kwa shida, miaka yetu ukimaliza six tu unaitwa shule fulani ukawape madogo pindi.

Naamini utapata..
 
Kuna shule ipo Mtwara inaitwa Call & Vision inatafuta mwalimu wa masomo yako, ni shule ya kanisa, mshahara mzuri.

Sina maelekezo mengine zaidi ya hayo, USIJE PM. Nenda Mtwara mjini kamuulize yeyote atakupeleka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…