God over everything
Member
- Feb 11, 2023
- 14
- 15
mkuu nipe mimi hiyo kazi ya 100k kwa mweziUnaweza kazi ya 100,000 kwa mwezi
Yes Ndugu nawezaUnaweza kazi ya 100,000 kwa mwezi
Mimi nipo najuaUnajua kutumia computer?
NDIO Ndugu yangu, Najua kwa 100%Unajua kutumia computer?
Weka namba ya simuWakuu Habari!
Bado sijajaaliwa kupata Kibarua/kazi tangu nipost humu mwezi January.
Naombeni mwenye connection au kazi direct anisaidie niweze kujikwamua na Njaa hii.
Nipo DSM, Elimu Form 6, Kompyuta Najua kutumia ipasavyo.
Wasalam!
Amin Amin MkuuMungu akutangulie