Natafuta Kazi kibarua nipo Songea vijijini

Natafuta Kazi kibarua nipo Songea vijijini

Kaka hatuna hamu na kilimo Mimi na shoga angu kiherehere kwisha tulikua na option mbili tulime au tununue mpunga shambani oooh tulime weeee kimetulamba
Hii ya kununua roba za mpunga na kupeleka mashine mwenyewe unapiga pesa, mimi kilimo huwa na kipenda tu😀 sema ni vile nakosa usimamizi wa mimi mwenyewe.

Kuna kilimo kingine cha mihogo , hili ni bingo😋
 
Back
Top Bottom