Natafuta Kazi kibarua nipo Songea vijijini

Natafuta Kazi kibarua nipo Songea vijijini

Mimi nikijana Nina umri wa miaka 28 natafuta kazi au kabarua nipo songea vijjini,Mimi sio mvivu nilikuwa na biashara nimekata mtaji, kukuaa Tu Ofsini sina pesa na Mali napoteza Muda
Pole sana mkuu. Naomba kama kuna mtu unamfahamu asie mlevi ambaye anaweza kuchunga na kuishi kijijini mwenyewe; chakula na malazi juu yangu, naomba sana usisite kumpa hii fursa. Nipo Arusha na ndipo ofisi ilipo. Nahitaji SANA huyu mtu
 
Naheshimu hilo mkuu kama sio Jf labda leo ningekuwa iringa nawaza nini cha kufanya
Kwenye uzi wangu wa jana nimepata idea kibao za 1.5M
Nimeanza ku breakdown badget na namna yakufanya ili ishu zikae kikazi
Pia mwenetu wa songea kama kunamtu atakuja Dm mskilize ila uwe na akilri yako.
Ulicho post ww leo me nilipost 22 nv 2024
Kimenip hauwen ya life ila bado ulimwengu umenikalia mabegani
Sema jamaa wanakejeri sana
 
Ata kusimamia mashambani Mimi naweza vizuri nimetoka familia ya kilimo sema mtaji umekatika
 
Back
Top Bottom