wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,968
- 3,680
We Kiwalo jibu hili swali. au umegaili hautaki tena kibarua??Huko Kwa Sasa shamba mnakodisha bei gan??
We Kiwalo jibu hili swali. au umegaili hautaki tena kibarua??Huko Kwa Sasa shamba mnakodisha bei gan??
Sasa unataka kibarua Gani? Kubeba tishu au?Kulima.linashindwa Trekta
Dogo anataka kazi ya kuokota mayai bandaniSasa unataka kibarua Gani? Kubeba tishu au?
Kuna watu mpaka 40 hawana mkuuMiaka 28 halafu huna ramani noma sana....Mungu akuinulie watu wakushike mkono naweke utoke mkuu.
Naheshimu hilo mkuu kama sio Jf labda leo ningekuwa iringa nawaza nini cha kufanyaNazijua hizi hali mkuu , nilishapitia yote hayo.
Aende Zanzibar. Waarabu wana mabanda Kibao, atainama atayaokota na waarabu watampa ujira wake.Dogo anataka kazi ya kuokota mayai bandani
Hiyo ndo faida ya kunywa pombe.. huyu min -me muda wote Anakuja amelewamin -me umekuwa mstari wa mbele sana kuwapa idea vinaja ambao life imetukalia vibaya nakumbuka hata mimi nilivo post uzi wa kutafta mishe ulikuwa msaada wa mawazo
Badilisha avatar kwanza.mikosi mwingine mnajitakia wenyeweMaana nipo muhukuru songea kiwanda gani pale?
Hahahahaha mwacheni Mtoto apumzikeBadilisha avatar kwanza.mikosi mwingine mnajitakia wenyewe
aisee kwel kama mitungi inaweza kukupa idea za buz na maisha wacha watu wanywr ila kwa kiasi tuHiyo ndo faida ya kunywa pombe.. huyu min -me muda wote Anakuja amelewa
Upo kariakoo sehem gan mkuuaisee kwel kama mitungi inaweza kukupa idea za buz na maisha wacha watu wanywr ila kwa kiasi tu
Kiasi ni kuishiwa Hela au kuzima.aisee kwel kama mitungi inaweza kukupa idea za buz na maisha wacha watu wanywr ila kwa kiasi tu