kukata mtaji iondoe mkuu, itakucheleweshaMimi nikijana Nina umri wa miaka 28 natafuta kazi au kabarua nipo songea vijjini,Mimi sio mvivu nilikuwa na biashara nimekata mtaji, kukuaa Tu Ofsini sina pesa na Mali napoteza Muda
Kununua roba tuliona mkulima atatupiga japo sio sana tukaona tujiweke kwenye kilimo wenyewe 🙄Hii ya kununua roba za mpunga na kupeleka mashine mwenyewe unapiga pesa, mimi kilimo huwa na kipenda tu😀 sema ni vile nakosa usimamizi wa mimi mwenyewe.
Kuna kilimo kingine cha mihogo , hili ni bingo😋
Nenda mpanda.Huko kwenu songea ila huku jua la utosi
Kwa. Kulima mpunga??Nenda mpanda.
min -me hii ndo nilikuwa nakwambia sasa..!! Ni bora kununua kwa wakulima kuliko kulimisha mwenyewe mambo ndio kama hivi..!!Kaka hatuna hamu na kilimo Mimi na shoga angu kiherehere kwisha tulikua na option mbili tulime au tununue mpunga shambani oooh tulime weeee kimetulamba
Yap, a very nice place yenye fertility soilKwa. Kulima mpunga??
Nina wazee wangu ndio walionishawishi nilime huku moro wao wapo huko sumbawanga Mimi nimekata tamaa kwakwelYap, a very nice place yenye fertility soil
Usikate tamaa tulime tu, mimi moro ndio kwangu kabisa , kuna siku mambo yatakunyookea tuNina wazee wangu ndio walionishawishi nilime huku moro wao wapo huko sumbawanga Mimi nimekata tamaa kwakwel
Pole sana mkuu. Naomba kama kuna mtu unamfahamu asie mlevi ambaye anaweza kuchunga na kuishi kijijini mwenyewe; chakula na malazi juu yangu, naomba sana usisite kumpa hii fursa. Nipo Arusha na ndipo ofisi ilipo. Nah Italian SANA huyu mtuMimi nikijana Nina umri wa miaka 28 natafuta kazi au kabarua nipo songea vijjini,Mimi sio mvivu nilikuwa na biashara nimekata mtaji, kukuaa Tu Ofsini sina pesa na Mali napoteza Muda
nenda mpanda, vijana tafuta waporini kabisa.Nina wazee wangu ndio walionishawishi nilime huku moro wao wapo huko sumbawanga Mimi nimekata tamaa kwakwel
Watu kama ninyi ndio munatishia watu...kuna dogo mmoja wa tandahimba alilima ufuta heka 45 jumla ila kwa maeneo matatu tofauti na fikiria alifyekesha ,kuchoma takataka, kutibua,kupuliza magugu,kupanda,kulimia ila mavuno jumla akapata kilo 600 na point zake,,,sasa ungekuwa wewe si ungeweka mabango barabarani ila jamaa akajipanga tena akaenda kulima liwale heka kama za mwanzo Mungu mkubwa akakutana na ufutaIle mvua ya mwaka 2023 unaikumbuka? We acha kabisa nyie limeni sisi tumegoma Hadi kula wali
Watu kama ninyi ndio munatishia watu...kuna dogo mmoja wa tandahimba alilima ufuta heka 45 jumla ila kwa maeneo matatu tofauti na fikiria alifyekesha ,kuchoma takataka, kutibua,kupuliza magugu,kupanda,kulimia ila mavuno jumla akapata kilo 600 na point zake,,,sasa ungekuwa wewe si ungeweka mabango barabarani ila jamaa akajipanga tena akaenda kulima liwale heka kama za mwanzo Mungu mkubwa akakutana naoIle mvua ya mwaka 2023 unaikumbuka? We acha kabisa nyie limeni sisi tumegoma Hadi kula wali
InshallahUsikate tamaa tulime tu, mimi moro ndio kwangu kabisa , kuna siku mambo yatakunyookea tuView attachment 3546969
Shida IPO wap Kila mtu anaumia Kwa namna yake na namna alivojipangaWatu kama ninyi ndio munatishia watu...kuna dogo mmoja wa tandahimba alilima ufuta heka 45 jumla ila kwa maeneo matatu tofauti na fikiria alifyekesha ,kuchoma takataka, kutibua,kupuliza magugu,kupanda,kulimia ila mavuno jumla akapata kilo 600 na point zake,,,sasa ungekuwa wewe si ungeweka mabango barabarani ila jamaa akajipanga tena akaenda kulima liwale heka kama za mwanzo Mungu mkubwa akakutana nao
Naomba niwe msimamizi wa mashamba yako bwashee. Hata mimi na kilimo ni damdam!Hii ya kununua roba za mpunga na kupeleka mashine mwenyewe unapiga pesa, mimi kilimo huwa na kipenda tu😀 sema ni vile nakosa usimamizi wa mimi mwenyewe.
Kuna kilimo kingine cha mihogo , hili ni bingo😋
Uko Muhukuru Sehemu gani? Barabarani au Lilahi?.Maana nipo muhukuru songea kiwanda gani pale?
Wee usije ukawaza kuondoka na kuzamia sehemu huna ramani nayoo, kitakulambaa.Daah nauri napata wapi nimekuambia sina kazi
KaribuNaomba niwe msimamizi wa mashamba yako bwashee. Hata mimi na kilimo ni damdam!