Hello wana jf baada ya vijana wengi kusaidia kazi nakuja mbele zenu nami nikihitaji sehemu ya kufanya kazi
Kwa majina naitwa richard patrick miaka 24 nimehitimu chuo kikuu nikichukua ndaki ya usimamizi fedha bachelor of finance naomba kazi temporary au permanent katika sector yoyote na uzoefu mkubwa nimefanya kazi tanesco planning department nimefanya kazi kwenye crushing machine kama operator
Najua kutumia computer kama ms excel internent and other applications
Pia nimpenda kazi mwaminifu najua kusimamia mirad mbali mbali na mtatuzi wa matatizo
Napatikana Dar Es Salaam
0782017180 0657710078