Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi
Hello kwema wanajukwaa napenda kutumia jukwaa hili.

Kumtafutia kazi dada yangu
Jina Easter
Mkazi wa Dar es Salaam - Tegeta

Kazi anazoweza
Kazi za ndani
Kazi za migahawani
Kulea watoto
Kazi za mauzo
Ni mcha mungu na mwaminifu

Namba yake 0694016441
Nahitaji msaada wenu
Ngazi ya Elimu
Umri
 
Hello kwema wana jukwaa hongereni kwa uchaguzi kwa upande mwingine pia poleni
Naitwa Titus mkazi wa dar es salaam
Professional yang ni steel fixer fundi chuma
Napenda kuomba kazi kwenu mwenye connection kwenye kampuni za ujenzi
Za kimataifa na kitaifa natafuta kazi ya usukaji nondo
Na uzoefu wa miaka miwili kwenye miradi mbalimbali kama ubungo fly over na mfugale
Nafanya kazi popote pale Tanzania
Asanteni
 
Hello kwema wadau mko njema
Naitwa villanova mkazi was dar es salaam
By professional ni steel fixer fundi kusuka nondo
Natafuta kazi kwenye kampuni za ujenzi individual contractors
Katika kitengo cha kusuka nondo katika ujenzi mbalimbali majumbani maghorofa viwandani na miradi ya kimataifa
Kwenye connection tupeane
 
Namba haipatikani, kama bado hajapata anicheki, natafuta mtu wa kusaidia kazi za nyumbani mshahara 70,000/= akiwa wa kuja na kuondoka itapendeza, nipo mbezi kimara. Awe anajua mitaa ya Kariakoo na maeneo mengi ya Dar es salaam.
 
Hello mko njema
Jina Masanja
Taaluma : funding chuma msusi wa nondo kwenye project za ujenz kama ghorofa barabara madaraja
Location Dar es salaam
Natafuta kazi ya kufunga nondo na kazi za slabs
Contact 0745000157
 
Back
Top Bottom