Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi
Kwema wana jukwaa,

Nakuja mbele zenu kuomba connection za kazi.

Na uzoefu na kazi zifuatazo:
  • Store keeper
  • Inventory management
  • Warehouse officer
  • Steel fixer
  • Transport and logistics
Niko Dar es Salaam

Nafanya kazi yoyote halali

Contact 0694052222
 
Jina: Villanova Patrick
Ujuzi: Steel fixer (fundi nondo)
Uzoefu: Miaka 2
Makazi: Dar es Salaam

Wanajukwaa natafuta kazi sekta ya ujenzi ujuzi wang ni fundi nondo kwenye project mbalimbali kama ujenzi wa madaraja culvert box maghorofa mitaro ya maji.

Mawasiliano 0745000157
 
Tunahitaji mafundi wazoefu. Kwanza utaanza na mafunzo ya mwezi mmoja kujua kutumia aina ya vifaa vyetu, kujua nidhamu za ufundi na kujua viwaango na ubora wa kazi za ufundi. Kama ni mzoefu sana mafunzo yanaweza kuwa ni ya wiki mbli tu. Ukifanya vizuri kwenye mafunzo kuna fursa nzuri za ajira mbali mbali.

Mafunzo yetu yamelenga sana kwenye nidhamu za kazi za ufundi na vipimo. Tunawezesha kuwa na mafundi bora si bora mafundi.

Tupigie 0625249605 kwa maelezo zaidi.
 
Tunahitaji mafundi wazoefu. Kwanza utaanza na mafunzo ya mwezi mmoja kujua kutumia aina ya vifaa vyetu, kujua nidhamu za ufundi na kujua viwaango na ubora wa kazi za ufundi. Kama ni mzoefu sana mafunzo yanaweza kuwa ni ya wiki mbli tu. Ukifanya vizuri kwenye mafunzo kuna fursa nzuri za ajira mbali mbali.

Kama hauna uzoefu utafundishwa kujenzi kuanzia mwanzo mpaka uwezzo wako utapofikia.

Mafunzo yetu yamelenga sana kwenye nidhamu za kazi za ufundi na vipimo. Tunawezesha kuwa na mafundi bora si bora mafundi.

Tupigie 0625249605 kwa maelezo zaidi.
 
Kwema wana jukwaa nakuja kwenu nikiwa na matumaini ya kusaidiwa.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28.

Nashida na kibarua au kazi yoyote nitafanya ili mradi mkono uende kinywani sina kazi kwa mda mrefu nilikuwa warehouse supervisor kwa kampun moja ya kichina ila tangu corona ianze walifunga biashara kwa madai mzee wao amefariki huko China.

Baada ya hapo nimekuwa bench nimehangaika sana kusaka ajira bila mafanikio huku familia ikinitegemea na kwa sasa mke wang mjamzito so hata mizunguko kapunguza.

Nauzoefu na kazi hizi shopkeeper warehouse storekeeper building supervisor revenue officer.

Niko Dar es Salaam.
Namba 0694052222.
 
Kwema wanajukwaa mko njema.

Samahani mimi ni kijana wa miaka 27 niko Dar es Salaam na familia ya mke na mtoto mmoja.

Shida yang nahitaji mwenye kazi au mchongo wa kazi anisadie nipate kuendesha familia yang coz sometimes imefikia hatua ya kula mlo mmoja.

Hapo nyuma nishawahi fanya kama
  • Storekeeper
  • Inventory management
  • Building supervisor
  • Fleet management
  • Revenue collectors
Msaada kazi yoyote nafanya au ushauri wa kupata kipato

Contact: 0745000157
 
Dar Mzee unaoa wakati huna sehemu ya kukuingizia kipato?? Hilo ni kosa ona unaitesa familia yako hiyo hela ya mlo mmoja unaipata wapi?? Komaa napo hapo hapo

Boda Boda nao watakua walishaanza kukugongea.
 
Back
Top Bottom