Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi
Hello wadau wajukwaa la jamii forum mimi ni kijana mkazi wa Dar es Salaam
By professional ni fundi chuma msusi wa nondo
Natafuta kazi kwenye kampuni za ujenzi au mtu mmoja kama anakazi hizo
Pia kama unamradi wa ujenzi unahitaji msimamizi nafanya kazi hiyo kwa ufanisi mkuu
Nimefanya kazi
Sgr nikiwa na yapi merkezi
Nimefanya kazi ubungo interchange nikiwa na ccec
Nimefanya kazi chico ujenz wa mto sinza
Kama contractor yoyoye ananihitaji
Contact 0745000157
 
Kwema ndugu zangu?

Naitwa Junior

Ujuzi: Fundi chuma (steel fixer)

Lengo: Nahitaji kazi ya ufundi chuma au yoyoye kwenye sector ya ujenzi pia naweza fanya kazi kama supervisor

Uzoefu: Miaka miwili kwenye ujenzi nikiwa na kampun za Kichina CCEC na Chicco

Makazi: Mbeya Mjini

Mawasiliano: 0645000157

FB_IMG_16101222400627181.jpg
 
Kwema wanajukwaa wa JF na HR manager's na directors

Mimi ni kijana wa kitanzania umri miaka 26 mkazi wa Dar es Salaam

1. Lengo natafuta kazi yoyote
2. Elimu bachelor of finance
3. Uzoefu miaka miwili kada mbalimbali

Revenue collector
Store keeper
Warehouse officer
Building supervisor na kampuni za kichina
Accountant

Niko Dar es Salaam
Contact: 0745000157

Naamim nitasaidika
 
dar-es-salaam-
Dar-es-salaam[emoji3581]

Kila la kheri mkuu,Mungu akutangulie
 
Kwa sababu unatafta kazi salami yako ingeanza kiunyenyekevy wenye uwezo wa kukupa tends humu ni wakuwaambia shikamoni au habari zenu!

Na sio hizo kwema za fb
 
Kwa sababu unatafta kazi salami yako ingeanza kiunyenyekevy wenye uwezo wa kukupa tends humu ni wakuwaambia shikamoni au habari zenu!

Na sio hizo kwema za fb
Mkuu kijana kakosea
Msaidie riziki
 
Shikamoni wakubwa zangu,

Name Rich Junior
Age 25
Location Dar es salaam

Aims looking for job

Area specialized
  • Research and development
  • Store keeper
  • Warehouse management
  • Revenue management
  • Sales and advertisements
  • Stock taking
  • account and finance

Experience 2years
Contact 0745000157
#jobseeker #jobhunting
 
Habari wana jukwaa wa JF,

Mimi ni kijana wa kitanzania kwa sasa napatikana Dar es Salaam.

Natafuta kazi ya ufundi chuma (rebar works).

Na uzoefu wa miaka miwili nikifanya kazi na chinese contractor kwenye project mbalimbali.

Kama drainage system highways bridge and house construction.

Pia naweza kufanya kazi yoyote ile ikipatikana kama supervisor storekeeper warehouse incharge.

Contact 0745000157


FB_IMG_16113793954642248.jpg
 
Je, wewe ni engineer contractor company au structure engineer na unahitaji fundi chuma steel fixer kwenye project yako ya ujenzi iwe beam column drainage system bridge na kazi yoyote ya chuma.

Napatikana Dar es Salaam

Wasiliana nami kwa namba 0745000157
 
Kwema wana jukwaa wa JF

Jina: Villanova

Mkazi wa Dar es Salaam

Ujuzi professional fundi ujenzi steel fixer

Lengo natafuta kazi ya ujenzi ujenzi wang ni msusi wa nondo kwenye project za ujenzi

Uzoefu miaka miwili kwenye project mbalimbali kama ubungo flyover mto sinza drainage

Contact 0745000157
 

Attachments

  • FB_IMG_16125161101278558.jpg
    FB_IMG_16125161101278558.jpg
    24.2 KB · Views: 3
Back
Top Bottom