Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi
Njoo Abraar Education Centre kibaha, tunahitaji mafundi ujenzi.

Kwetu hapa unaanza kwa kupata mwelekeo (orientation) wa wiki mbili kwa kua vifaa vyetu vya ujenzi ni aina ya kipekee sio kama vilivyozoeleka. Kama ni fundi ujenzi mzoefu utapata ujuzi mpya baada ya muda mchache sana (kutegemea na juhudi yako) unakua fundi kamili wa vifaa aina mpya vya ujenzi.

Pia tunachukua wanafunzi watakaopenda kujifundisha ujenzi kwa vitendo, wanaanzia kwa kujifunza kuunda vifaa vya ujenzi kwa siku mbili mpaka tatu kwa kila kifaa.

Ni mpango wa kipekee Tanzania hii, vijana changamkieni fursa.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa whatsapp 0625249605.

Abdul Ghafur
 
Njoo Abraar Education Centre kibaha, tunahitaji mafundi ujenzi.

Kwetu hapa unaanza kwa kupata mwelekeo (orientation) wa wiki mbili kwa kua vifaa vyetu vya ujenzi ni aina ya kipekee sio kama vilivyozoeleka. Kam ni fundi ujenzi mzoefu utapata ujuzi mpya baada ya muda mchache sana(kutegemea na juhudi yako) unakua fundi kamili wa vifaa aina mpya vya ujenzi.

Pia tunachukua wanafunzi watakaopenda kujifundisha ujenzi kwa vitendo, wanaanzia kwa kujifunza kuunda vifaa vya ujenzi kwa siku mbili mpaka tatu kwa kila kifaa.

Ni mpango wa kipekee Tanzania hii, vijana changamkieni fursa.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa whatsapp 0625249605.

Abdul Ghafur
Gharama zipoje
 
Gharama zipoje
Kama ni mwanafunzi wa ujenzi hakuna gharama, unalipwa wewe posho ya chakula cha kila siku utayoingia kujifunza.

Ukijifunza kuunda vifaa vya ujenzi, siku mbili tu kifaa kimoja unalipwa kama mwanafunzi. Siku ya tatu unalipwa kama fundi, tuna uhakika unakua umeshakua fundi wa kifaa hicho.

Kuna vifaa aina zaidi ya 50 tofauti vyankujifunza lakini tunaanza kukupa mafunzo ya vifaa kama 11 muhimu vya awali.
 
Back
Top Bottom