Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi
Kuna habari nilitaka nikuulizie(unisanue) unipe majibu ila inbox huna
Sijawahi kutumia inbox,unaposema sina inbox una maanisha nini? coz kialama cha bahasha kipo hapo juu,nikikifungua kinaandika You have na recent conversations.
 
Kwema wanajukwaa
Naitwa makolelo
Mkazi dar es salaam

Nakuja kwenu nashida na kazi kibarua kwa sasa Niko mtaani sina kazi baada ya wachina niliokuwa nafanya kazi nao kwenye mradi kuchemka kazi na kurudi China
Nauzoefu na kazi za stocking
Warehouse
Go down
Store
Sales na cashier kwenye maduka ya fashion
Nilikuwa unahitaji msaada wa kazi kama unaconection nipatie nipate kuishi mjini na familia
Namba yangu 0657710078
 
Kwema wanajukwaa natumai mko njema

Jina naitwa makolelo mkazi wa kimara

Elimu degree

Uzoefu miaka 3

Lengo la uzi huu ni kuomba nafasi ya kazi kwenye maduka yoyote Kariakoo au sehemu yoyote

Na uzoefu wa kazi ya kuuza duka la viatu

Godown personel store keeper na cashier

Au kama wewe ni winga kariakoo naomba unipokee kunionyesha njia tu

Msaada please

Mawasiliano: 0657710078
 
Kwema wanajukwaa natumai mko njema

Jina naitwa makolelo mkazi wa kimara

Elimu degree

Uzoefu miaka 3

Lengo la uzi huu ni kuomba nafasi ya kazi kwenye maduka yoyote Kariakoo au sehemu yoyote

Na uzoefu wa kazi ya kuuza duka la viatu

Godown personel store keeper na cashier

Au kama wewe ni winga kariakoo naomba unipokee kunionyesha njia tu

Msaada please

Mawasiliano: 0657710078
Uwinga unauweza mzee baba!? introvert
 
Kwema ndugu zangu
Naitwa makolelo
Mkazi wa dar es salaam
Elimu diploma of business administration

Nimekuja kwenu natafuta kazi ya kuuza duka la fashion nguo viatu na vitu vingine
Na,uzoefu wa miaka mitatu kufanya kazi Kwenye maduka ya outfit hapa dar es salaam

Nahitaji msaada wa kazi au Connection ya kazi
Natanguliza shukrani
Namba 0657710078
 
Wanajukwaa msaada,

Nimekuja mbele yenu natafuta kazi Mahala popote nifanye kujikizi na Hali ngumu ya maisha. Baada ya kubomolewa banda langu LA umachinga lililokuwa mwenge nikijihusisha na kuuza mitumba ya kike kwa Sasa niko nyumbani.

Na uzoefu na kazi zifuatazo
  • Store keeper
  • Cashier
  • Shopkeeper
  • Supervisor

Mawasiliano 0657710078
Niko Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom