mshale21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 2,126
- 5,068
Pole sana ndg!Wanajukwaa msaada
Nimekuja mbele yenu natafuta kazi Mahala popote nifanye kujikizi na Hali ngumu ya maisha...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana ndg!Wanajukwaa msaada
Nimekuja mbele yenu natafuta kazi Mahala popote nifanye kujikizi na Hali ngumu ya maisha...
Hebu jaribu biashara yako kuihamishia kwenye social medias. Nawaza tu hapa 🤔 japo Mambo si mepesi . Anyways Kila la heri.Wanajukwaa msaada,
Nimekuja mbele yenu natafuta kazi Mahala popote nifanye kujikizi na Hali ngumu ya maisha. Baada ya kubomolewa banda langu LA umachinga lililokuwa mwenge nikijihusisha na kuuza mitumba ya kike kwa Sasa niko nyumbani.
Na uzoefu na kazi zifuatazo
- Store keeper
- Cashier
- Shopkeeper
- Supervisor
Mawasiliano 0657710078
Niko Dar es Salaam
Hivi kuna chama cha majobless?Wengine tunasubiri sasa Kutunukiwa Tuzo ya Kukaa bila Ajira tokea Hayati Rais Dkt. Magufuli aingie Madarakani, Afariki na arithiwe na Rais Samia Suluhu Hassan.
Kwema wanajukwaa natumai mko njema
Jina naitwa makolelo mkazi wa kimara
Elimu degree
Uzoefu miaka 3
Lengo la uzi huu ni kuomba nafasi ya kazi kwenye maduka yoyote Kariakoo au sehemu yoyote
Na uzoefu wa kazi ya kuuza duka la viatu
Godown personel store keeper na cashier
Au kama wewe ni winga kariakoo naomba unipokee kunionyesha njia tu
Msaada please
Mawasiliano: 0657710078
Njoo usome muongozo hukukwema wana jf
Nimekuja kwenu nahitaji kazi za ujenzi
Na uzoefu wa miaka 3 katika site za ujenzi miradi mikubwa na ya kati
Ujuzi wangu ni fundi chuma steel fixer
Fundi au engineer Yeyote mwenye site niko tayari kuwa msaidizi wake
Napatikana dar es salaam
Contact 0745000157