Natafuta kazi, nipo dar es salaam

Jazia nyama..

Information System Management una ujuzi wa word, excel, powerpoint pekee?
 
pia nina uwezo wa kudevolop website kwa kutumia Html, CSS,JavaScript and bootstrap frame work. Graphic design nipo najifunza. Asante.
Safi.

Mimi nahitaji kujifunza na kuunda mobile app na website (travel and accomodation bookings).
 
Tapeli huyoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyo jamaa Ana play low key Ila hayupo Kama mnavyomfikiria kuna watu nawajua kawapa pande hizo habari za mbususu anafanya funny
 
Mimi ni binti wa miaka 24, nina degree ya Information systems Management. Natafuta kazi nina ujuzi wa computer (word, power point na excel). Mchapakazi, msikivu na ninaependa kujifunza. Utanipata kwa email hii: kimishalilian@gmail.com. Asante.
Kila la kheri Mkuu, Mungu akuongoze upate hitaji la moyo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…