Natafuta kazi, nipo dar es salaam

Natafuta kazi, nipo dar es salaam

PM kwangu huwa haifunguki kabisaaa ndio maana nimeweka email. Nmefanya ivo kwasababu hakuna chaguo, usiitafsiri vibaya. Asante.
Update crome yako na browser pm itafunguka .

Fanya hivyo itakusaidia kuongea na waajiri na hatimaye kufikiwa .
 
Dah, Mungu akutangulie madam.
Mimi na wewe tupo kwenye janga hilo hilo.

Wakuu mie pia naomba kazi jamani.
Mimi ninjinsia ya kiume,
Nina degree ya business information technology.
Pamoja na kujua Microsoft suite, na japokuwa sijafanya kazi katika ofisi yoyote tofauti na field nilizofanya kwenye taasisi mbali mbali. Nipo eligible kufanya kazi kama vile(networking installation and configuration, (subnetting imekaa to some extent) database management (mySQL, mariaDB) sever management (Ubuntu server)
I have a solid knowledge in Linux OS (Kali and Ubuntu)
Wakuu pia naweza nikaManage customers kwa kutumia softwares kama CRMS (customer relationship management system).
Data visualization kwa kutumia (Power business Intelligence pamoja na Tableau)
I have basic understanding in System Project Management.
System analysis, but not system development.
.cyber Security. (Pen tester using various Linux tools and frameworks ikiwemo nmap, netcat, metasploit etc, analyzing and reporting, policies and ..). Nimeperfom several tryHackMe and HackTheBox tasks, pia na vulnerable metasploitable machine nimefanikiwa kuiHack. Pia nimejaribu KuClone some projects from github, got a fake server and worked on trying to bypass the firewall.

Wakuu natamani kupata angalau sehem iwe public au private sector niweze kuimprove career yangu, pia kujenga confidence. Am ready to assist the company/institution, the aim is to gain work experience.
Thanks for your regard.
Nipo Dar Es Salaam.
Mawasiliano 0620224372 (WhatsApp and normal call)
Email. informtech2001@gmail.com
 
Asante , na ww pia All the best.
 
Back
Top Bottom