Natafuta kazi, nipo dar es salaam

Natafuta kazi, nipo dar es salaam

Njoo tuungane tuuze simu za mkopo. Wew utakuwa front over. Kila mteja utakayampata na kumsajilia simu unapata 20k hapo hapo.

Unapambana atleast kila siku upate mteja mmoja
Mkuu naweza pata simu ya laki used
 
Mimi ni binti wa miaka 24, nina degree ya Information systems Management. Natafuta kazi nina ujuzi wa computer (word, power point na excel). Mchapakazi, msikivu na ninaependa kujifunza. Utanipata kwa email hii: kimishalilian@gmail.com. Asante.

Nidhamu, sala, jithamini, sala, consistence - lazima ufanikiwe
 
Naomba mnisaidie ata kuniunga kwenye viwanda kama kunaanayeweza kuniiunga. Mimi n mkazi wa makongo. Asante.
 
Hapa ndio tatizo huwa linaanzia kwa graduate wa kibongo.
Yaani Kazi unatafuta wewe, then mtu anakuambia njoo PM, unasema yeye ndio akutafute na una miaka 24.

Kazi kweli kweli.
PM kwangu huwa haifunguki kabisaaa ndio maana nimeweka email. Nmefanya ivo kwasababu hakuna chaguo, usiitafsiri vibaya. Asante.
 
Back
Top Bottom