Natafuta kazi, nipo dar es salaam

Hapo sasa, hizo word, excel, power point hata singetajwa, maana ni basic computer apps
Nahitaji kazi yeyote legal hasa za kutype nikahisi nikiweka ivo nitaeleweka zaid. Asante
 
Hapo sasa, hizo word, excel, power point hata singetajwa, maana ni basic computer apps
Kabisa.

Ni karibu kila mtu anaweza kucheza nazo hizo. Anafaa aainishe ule ujuzi adimu.
 
Huyo jamaa Ana play low key Ila hayupo Kama mnavyomfikiria kuna watu nawajua kawapa pande hizo habari za mbususu anafanya funny
Mimi mwenyewe sikumaanisha just a joke
 
Mdada nimekusalimia mambo..
Ulikua cive mwaka gani...

Naona unajibu amen tyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…