Natafuta kazi ya Houseboy

Natafuta kazi ya Houseboy

dav_

Senior Member
Joined
Jul 15, 2023
Posts
113
Reaction score
393
Wakuu natafuta kazi ya Houseboy au kibarua chochote.
Nipo tayari kwa mshahara kuanzia laki 1 (malazi na chakula juu ya boss).

Kazi nazoweza kufanya usafi wote, kutunza bustani na garden, kulisha kuku au nguruwe, kuosha magari pia kuuza maduka nina uzoefu.

Hivyo naomba yoyote aliye tayari kunishika mkono anicheki PM

Asante
 
Wakuu natafuta kazi ya Houseboy mikoa ya Dar, Pwani au Dodoma. Nipo tayari kwa mshahara kuanzia laki 1 (malazi na chakula juu ya boss).

Kazi nazoweza kufanya usafi wote, kutunza bustani na garden, kulisha kuku au nguruwe, kuosha magari pia kuuza maduka nina uzoefu nk.

Nina umri wa miaka 25 kwa sasa. Elimu nimemaliza chuo lakini nipo tayari kufanya kazi hizo hapo juu nijitafute.
Nimetafuta kibarua tena baada ya kujiajiri mwaka jana lakini changamoto zilinipata hivyo nimejikuta kama naanza maisha upya, ni ngumu sana kuelezea hapa.

Hivyo naomba yoyote aliye tayari kunishika mkono anicheki

Asante
Usisahau maombi na Sala. Mungu akutangulie
 
Mkuu,Naomba hata kama unatafauta kazi ya Uhausi Boy Usiache kuweka Pia kwamba Chuo umesomea nini,chuo gani,mwaka gani na upo wapi.

Pia usiache kuweka skills na experiences ulizo nazo.

Kila la heri
Sawa mkuu ila kazi za chuo hizi ni ngumu nimetafuta almost 2 years nimekosa
 
Back
Top Bottom