Natafuta kazi ya Stationery na uzoefu nayo zaidi ya miaka 5 Niko Mwanza

Vikings41

New Member
Joined
Nov 18, 2025
Posts
2
Reaction score
1
Habar za wakati huu,

Samahan Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30.

Natafuta kazi yoyote ya halali, Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa software. Pia na ujuzi wa kazi za Stationery mambo ya online application, kazi, mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu.

Nilikua na kazi lakini sehemu nliyokuwepo palivunjwa kufanya marekebisho ya muda mrefu.

Mawasiliano 0621540474

Asanteni

Uaminifu ni Mtaji
 
Back
Top Bottom