Natafuta kazi ya uchungaji

Natafuta kazi ya uchungaji

Kilimbatz

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
4,331
Reaction score
5,865
Mimi ni mtanzania mwenye diploma ya ualimu na mwenye ujuzi kamili katika Neno la Mungu na historia ya Kanisa

Naomba kazi ya uchungaji wa kondoo wa Bwana katika Kanisa lolote lenye uhitaji.

Wenu katika kazi

PS:
Nina uelewa mpana pia wa lugha ya kiengereza hivyo nipo tayari kuwaibika nje ya nchi
 
Kagame hakukosea kusema makanisa yafungwe mpka terms and condition zinazotakiwa zitimizwe
Hivi unajua kuwa Kanisa ndiyo taasisi pekee yenye utajiri mkubwa usio katwa kodi?

Hayo makanisa ya kisasa yasikuchanganye sana
 
Mimi ni mtanzania mwenye diploma ya ualimu na mwenye ujuzi kamili katika Neno la Mungu na historia ya Kanisa

Naomba kazi ya uchungaji wa kondoo wa Bwana katika Kanisa lolote lenye uhitaji.

Wenu katika kazi

PS:
Nina uelewa mpana pia wa lugha ya kiengereza hivyo nipo tayari kuwaibika nje ya nchi
Dah chuo gani umesoma umeandika kama unatania ukiwa na uhakika
 
Kumbe ndio kilichokudanganya kutokatwa kodi iliisha mda sana siku hizi wafanya kazi wote kanisani wanakatwa kodi
Nashukuru kwa hii elimu

Na ninashukuru kwa kuniupdate

Zoezi hili limeanza lini,je kuna marekebisho ya sheria yaliyofanyika bungeni kupitisha hilo?
 
Mimi ni mtanzania mwenye diploma ya ualimu na mwenye ujuzi kamili katika Neno la Mungu na historia ya Kanisa

Naomba kazi ya uchungaji wa kondoo wa Bwana katika Kanisa lolote lenye uhitaji.

Wenu katika kazi

PS:
Nina uelewa mpana pia wa lugha ya kiengereza hivyo nipo tayari kuwaibika nje ya nchi
diploma ya ualimu tayari unajiona ni theologian au kwa kuwa umepewa kazi ya kuhesabu sadaka kanisani basi unajiona unaweza kuwa mchungaji.....

wito wa kweli haukimbiliwi maana ni mzigo mzito
 
Kumbe wachungaji wanatafuta ajira au wanaenda kanisani kwa wito wanaanza kazi ya Mungu?
 
diploma ya ualimu tayari unajiona ni theologian au kwa kuwa umepewa kazi ya kuhesabu sadaka kanisani basi unajiona unaweza kuwa mchungaji.....

wito wa kweli haukimbiliwi maana ni mzigo mzito
Huo mzigo mzito ndiyo mimi nautak
 
Mimi ni mtanzania mwenye diploma ya ualimu na mwenye ujuzi kamili katika Neno la Mungu na historia ya Kanisa

Naomba kazi ya uchungaji wa kondoo wa Bwana katika Kanisa lolote lenye uhitaji.

Wenu katika kazi

PS:
Nina uelewa mpana pia wa lugha ya kiengereza hivyo nipo tayari kuwaibika nje ya nchi
Sasa unataka uchungaji, kwenda nje ya nchi au kazi ya ualimu ? Nani akuachie kondoo ww ? Avata yako na uchungaji ni mbali mbali kabisa.
 
hujaelewa. ungekuwa na wito wala usingekimbilia jf kujimwambafai. ungekuwa umejificha mahali unahojiana na aliyekupa huo wito
Wala sijimwambafai
Kuna hudama huwa zinafanyìa nje ya nchi na mara nyingi zinataka muombaji awe na exposure na lugha za kigeni,mfano kuna program ya kueneza injili katika kisiwa cha Mayotte kilicho chini ya Mfaransa hivyo ukitaka kwenda huko ni laazima ukijue kifaransa na kiingereza

Hivyo kuandika humu siyo kujimwabafai

Na hao wanaokwenda wanapata hela nzuri sana
 
Back
Top Bottom