Natafuta kazi ya uchungaji

Natafuta kazi ya uchungaji

Mimi ni mtanzania mwenye diploma ya ualimu na mwviti enye ujuzi kamili katika Neno la Mungu na historia ya Kanisa

Naomba kazi ya uchungaji wa kondoo wa Bwana katika Kanisa lolote lenye uhitaji.

Wenu katika kazi

PS:
Nina uelewa mpana pia wa lugha ya kiengereza hivyo nipo tayari kuwaibika nje ya nchi
Kwa nini tusianzishe kanisa letu ili tupige hela? mtaji wake siyo ghali sana 5m inatosha kuanzisha kanisa simple, ni maturubai, viti 100, mchanga,cement,kokoto na ..watu kama 10 wakuwatengeneza kwa ajili ya kufanyia miujiza...baada ya miezi mitatu hela inarudi unaanza kupata faida
 
Hapa Kwanza ncheke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umeitwa au umejiita! Si ujiajiri
 
Kwa nini tusianzishe kanisa letu ili tupige hela? mtaji wake siyo ghali sana 5m inatosha kuanzisha kanisa simple, ni maturubai, viti 100, mchanga,cement,kokoto na ..watu kama 10 wakuwatengeneza kwa ajili ya kufanyia miujiza...baada ya miezi mitatu hela inarudi unaanza kupata faida
Mkuu are you serious?
 
Ni vivuli vitatu vya kitu kimoja,ni kama kivuli cha asubuhi mchana na jioni cha kitu kimoja kinachohamaham kingana na mjongeo wa jua
Sawa,mimi nimekuelewa. Unajua why nilikutaka uweke kwa urefu na upana hata ambao si triniterians waielewe.
Ni kwanamna hipi kuhani wa dhehebu la Bahai ataelewa/mbali na kukubaliana na ulichokiandika hapa?
 
Mimi ni mtanzania mwenye diploma ya ualimu na mwenye ujuzi kamili katika Neno la Mungu na historia ya Kanisa

Naomba kazi ya uchungaji wa kondoo wa Bwana katika Kanisa lolote lenye uhitaji.

Wenu katika kazi

PS:
Nina uelewa mpana pia wa lugha ya kiengereza hivyo nipo tayari kuwaibika nje ya nchi
Kazi ya uchungaji haitafutwi ni ya kujitolea kama sadaka kondoo wakikukubali basi unaanza kula madhabahuni.
 
Sio, ila ilo halifanyi hapa Jf asiwepo mwenye imani hiyo ama nyingine nje Ukristo.
Usihofu

Acha nipitie vitabu vya kibahai halafu nitakuja nikujibu kwa ukamilifu

Ninachokumbuka Mabahai huaamini kuwa kila baada ya miaka 1000 Mungu huleta nabii atakayeleta injili kulingana na wakati tuliyopo hivyo baada ya Mtume Muhamadi ndiyo akaja Bahaulah

Nikikaa ntafunguka kwa marefu
 
Uenda muundo wa swali langu halikuwa katika mpangilio mzuri hata ukashindwa kulielewa.
Ni hvi: uko sahihi kwa ulichonijibu ila hakipo in detail jambo linalofanya iwe vigumu kwa aside mkristo kuelewa ama kukubaliana na ulichonijibu..
Nb:, Mungu akupe hitaji la Moyo wako.
 
Mimi ni mtanzania mwenye diploma ya ualimu na mwenye ujuzi kamili katika Neno la Mungu na historia ya Kanisa

Naomba kazi ya uchungaji wa kondoo wa Bwana katika Kanisa lolote lenye uhitaji.

Wenu katika kazi

PS:
Nina uelewa mpana pia wa lugha ya kiengereza hivyo nipo tayari kuwaibika nje ya nchi
Ndugu, huduma ya kumtumikia MUNGU inaombwa? Umetia aibu ukristo aisee, sihitaji kukutambua kama mkristo mwenzangu isipokua msaka tonge tu
 
Define God and give two examples!
 
Ndugu, huduma ya kumtumikia MUNGU inaombwa? Umetia aibu ukristo aisee, sihitaji kukutambua kama mkristo mwenzangu isipokua msaka tonge tu
Sawa

Naheshimu msimamo wako
 
Uenda muundo wa swali langu halikuwa katika mpangilio mzuri hata ukashindwa kulielewa.
Ni hvi: uko sahihi kwa ulichonijibu ila hakipo in detail jambo linalofanya iwe vigumu kwa aside mkristo kuelewa ama kukubaliana na ulichonijibu..
Nb:, Mungu akupe hitaji la Moyo wako.
Mkuu niweke wazi

Je wewe ni Mbahai?
 
Back
Top Bottom