Natafuta kazi ya uchungaji

Natafuta kazi ya uchungaji

Ndani ya huduma naweza kuwa mwalimu wa neno la Mungu kama alivyo Mwakasege
Wito fanyia hapo hapo unaposali kwa sasa ili Mungu akuinue kutokea hapo, kuwa mwalimu sio kuwa mwinjilisti kama Mwakasege ww kijana acha kabisa kujifananisha na yule mtu ni Mchumi mbobezi. Nyie ndio mnaoenda kuwaka tamaa huko makanisani na kuanza ulawiti, ubakaji na uchafu.
 
Mimi ni mtanzania mwenye diploma ya ualimu na mwenye ujuzi kamili katika Neno la Mungu na historia ya Kanisa

Naomba kazi ya uchungaji wa kondoo wa Bwana katika Kanisa lolote lenye uhitaji.

Wenu katika kazi

PS:
Nina uelewa mpana pia wa lugha ya kiengereza hivyo nipo tayari kuwaibika nje ya nchi
Unakumbuka Petro aliambiwa nini na Yesu pale kwenye bahari ya Tiberia? Utume wa kondoo ni wa kuitwa sio wa kutafuta. Ikiwa unataka kuchunga kondoo wa Bwana kaa nae faragha muongee utapewa lakini je, utaweza???? Maana watadaiwa wote utakaopewa na Bwana. Hata Yesu mwishoni alitoa hesabu alivyosema kwenye Yohana 17 kwamba sikumpoteza hata mmoja isopokua yule mwana wa uovu ili andiko litimie.
 
Ndugu hutawalamba wake/mabinti zetu wakija kwenye maombi na semina?
Hebu kueleze vizuri umeoa na una watoto?
 
Wala sijimwambafai
Kuna hudama huwa zinafanyìa nje ya nchi na mara nyingi zinataka muombaji awe na exposure na lugha za kigeni,mfano kuna program ya kueneza injili katika kisiwa cha Mayotte kilicho chini ya Mfaransa hivyo ukitaka kwenda huko ni laazima ukijue kifaransa na kiingereza

Hivyo kuandika humu siyo kujimwabafai

Na hao wanaokwenda wanapata hela nzuri sana
kwa hiyo shida yako ni hela nzuri. utaishia kushiriki ushirikina wewe
 
Wala sijimwambafai
Kuna hudama huwa zinafanyìa nje ya nchi na mara nyingi zinataka muombaji awe na exposure na lugha za kigeni,mfano kuna program ya kueneza injili katika kisiwa cha Mayotte kilicho chini ya Mfaransa hivyo ukitaka kwenda huko ni laazima ukijue kifaransa na kiingereza

Hivyo kuandika humu siyo kujimwabafai

Na hao wanaokwenda wanapata hela nzuri sana
Kwa hiyo ww kinachokusukuma kutafuta kazi ya uchungaji ni kutafuta pesa?
Kama jibu ni ndiyo nakushauri nenda Mombasa!!
 
Nilitembelea ma jengo ya makanisa mbalimbali katika mji wetu kama efatha, eagt, tag n.k. Honestly nikajisemea moyoni hii kazi inalipa sana. Imagine huyu mwingila ana kanisa kubwa kama hili kila mji nchini, dah!!!
 
Unakumbuka Petro aliambiwa nini na Yesu pale kwenye bahari ya Tiberia? Utume wa kondoo ni wa kuitwa sio wa kutafuta. Ikiwa unataka kuchunga kondoo wa Bwana kaa nae faragha muongee utapewa lakini je, utaweza???? Maana watadaiwa wote utakaopewa na Bwana. Hata Yesu mwishoni alitoa hesabu alivyosema kwenye Yohana 17 kwamba sikumpoteza hata mmoja isopokua yule mwana wa uovu ili andiko litimie.
Kwa dunia ya sasa wito pekee hautoshi

Zama za watu kufanya vitu kwa wito zinaenda kupitwa na wakati

Mfano angalia kazi yetu ya ualimu

Kati ya wanafunzi walio mashuleni wanaupenda ualimu toka moyoni ni wachache sana ila kila siku Serikali inaajili walimu

60% ya walumu wa sasa wanafanya ualimu kwa ujira

Tukisema tuwasubirie wa wito shule zitabaki tupu

Siyo ualimu tu,angalia na kada zingine pia unipe mrejesho
 
Kwa hiyo ww kinachokusukuma kutafuta kazi ya uchungaji ni kutafuta pesa?
Kama jibu ni ndiyo nakushauri nenda Mombasa!!
Shida ya wabongo hatupendi kuusema ukweli ulio mbele ya macho yetu

Inachokifanya kanisa katoliki naMwamposa tofauti ni nini?

Mwamposa anakunja sadaka zote yeye mwenyewe wakati Roman Catholic wanzipeleka Roma ndo zishuke chini

Hao wote wanachukua jasho la muumini wanatofautiana matumizi tu
 
Aisee nilikua sijaangalia avatar yake naunga mkono hoja.
Ushawona waimbaji wa makoma mkuu?
Huyo wa kwenye avatar ndiyo mmoja wa kondoo aliyiyepotea inabidi arudishwe hemani

Ebu nenda kawaangaie waimbaji wa Makoma halafu urudi hapa
 
Nashukuru kwa hii elimu

Na ninashukuru kwa kuniupdate

Zoezi hili limeanza lini,je kuna marekebisho ya sheria yaliyofanyika bungeni kupitisha hilo?
Kwani kila kitu kinaenda bungen mengi sana yako kwenye akili za watu na yanatendeka
 
Nilitembelea ma jengo ya makanisa mbalimbali katika mji wetu kama efatha, eagt, tag n.k. Honestly nikajisemea moyoni hii kazi inalipa sana. Imagine huyu mwingila ana kanisa kubwa kama hili kila mji nchini, dah!!!
Umesahau kitu kimoja

Mwingila ana benki ya kanisa kama Roman Catholic walivyo na benki ya Mkombozi
 
Ndani ya huduma naweza kuwa mwalimu wa neno la Mungu kama alivyo Mwakasege
Kwann usiwe mwalim wa kiswahil unataka kanisani wakati hata thiorojia hujasoma unapotea kabla hujaanza
 
Back
Top Bottom