Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiongee vitu usivyojua ni muda sasa makanisa ya wakatoliki wanajitegemea kwenye swala la mapato na matumizi yao hamna pesa inayokwenda roma ikarudi kama zamani unaonekana unaongea tu ila undani wa mambo hujui kitu jitahidi kujua upana wa dini kwanza ndio uhitaji kuwa muongoza diniShida ya wabongo hatupendi kuusema ukweli ulio mbele ya macho yetu
Inachokifanya kanisa katoliki naMwamposa tofauti ni nini?
Mwamposa anakunja sadaka zote yeye mwenyewe wakati Roman Catholic wanzipeleka Roma ndo zishuke chini
Hao wote wanachukua jasho la muumini wanatofautiana matumizi tu
Nashukuru kwa ufafanuzi wakoWito fanyia hapo hapo unaposali kwa sasa ili Mungu akuinue kutokea hapo, kuwa mwalimu sio kuwa mwinjilisti kama Mwakasege ww kijana acha kabisa kujifananisha na yule mtu ni Mchumi mbobezi. Nyie ndio mnaoenda kuwaka tamaa huko makanisani na kuanza ulawiti, ubakaji na uchafu.
Una uhakika mkuu?usiongee vitu usivyojua ni muda sasa makanisa ya wakatoliki wanajitegemea kwenye swala la mapato na matumizi yao hamna pesa inayokwenda roma ikarudi kama zamani unaonekana unaongea tu ila undani wa mambo hujui kitu jitahidi kujua upana wa dini kwanza ndio uhitaji kuwa muongoza dini
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sawa baba mchungaji.Ushawona waimbaji wa makoma mkuu?
Huyo wa kwenye avatar ndiyo mmoja wa kondoo aliyiyepotea inabidi arudishwe hemani
Ebu nenda kawaangaie waimbaji wa Makoma halafu urudi hapa
Kwenye bandiko lako hakuna Neno athest, fanya nilichoomba ukifanye accordingly.Nikuelezee kama muhumini au atheist?
Mimi ni mtanzania mwenye diploma ya ualimu na mwenye ujuzi kamili katika Neno la Mungu na historia ya Kanisa
Naomba kazi ya uchungaji wa kondoo wa Bwana katika Kanisa lolote lenye uhitaji.
Wenu katika kazi
PS:
Nina uelewa mpana pia wa lugha ya kiengereza hivyo nipo tayari kuwaibika nje ya nchi
Hii ndiyo reply pekee tangu huu uzi umeanza ulionipa farajaMt 28:19 SUV
Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu.
===============
Hubiri ufunge kanisa unaweza kuwa chini ya dhehebu unalohisi wanamuhubiri Yesu na sio mafanikio ya kidunia.
Ukiiangazia zaidi toba
Mathayo 3:2 SRUV
Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.
Mk 8:36-37 SUV
Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake? Ama mtu atoe nini badala ya nafsi yake?
Rum 10:15 SUV
Tena wahubirije, wasipopelekwa? Kama ilivyoandikwa, Ni mizuri kama nini miguu yao wahubirio habari ya mema!
barikiwa sana mtumishi start from scratch
Mkuu huko miye sipoIla ujue kondoo wengi wamenona, tuangalie kipimo cha uvumilivu, utawafikisha wote salama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda maeneo yenye msongamano wa watu, kama stendi, au sokoni anza kukemea mapepo; wakianguka wawili au watatu; unakuwa umepata ajira, kwa kupokea sadakaNaweza
Unataka huduma?
Nakazia hapaAnzisha lakwako utakuja kunishukuru.