google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
Wito fanyia hapo hapo unaposali kwa sasa ili Mungu akuinue kutokea hapo, kuwa mwalimu sio kuwa mwinjilisti kama Mwakasege ww kijana acha kabisa kujifananisha na yule mtu ni Mchumi mbobezi. Nyie ndio mnaoenda kuwaka tamaa huko makanisani na kuanza ulawiti, ubakaji na uchafu.Ndani ya huduma naweza kuwa mwalimu wa neno la Mungu kama alivyo Mwakasege
Ni ww huyo kwenye avata?Vyote navitaka
Hio avatar ina kipi cha ajabu?
Unakumbuka Petro aliambiwa nini na Yesu pale kwenye bahari ya Tiberia? Utume wa kondoo ni wa kuitwa sio wa kutafuta. Ikiwa unataka kuchunga kondoo wa Bwana kaa nae faragha muongee utapewa lakini je, utaweza???? Maana watadaiwa wote utakaopewa na Bwana. Hata Yesu mwishoni alitoa hesabu alivyosema kwenye Yohana 17 kwamba sikumpoteza hata mmoja isopokua yule mwana wa uovu ili andiko litimie.Mimi ni mtanzania mwenye diploma ya ualimu na mwenye ujuzi kamili katika Neno la Mungu na historia ya Kanisa
Naomba kazi ya uchungaji wa kondoo wa Bwana katika Kanisa lolote lenye uhitaji.
Wenu katika kazi
PS:
Nina uelewa mpana pia wa lugha ya kiengereza hivyo nipo tayari kuwaibika nje ya nchi
kwa hiyo shida yako ni hela nzuri. utaishia kushiriki ushirikina weweWala sijimwambafai
Kuna hudama huwa zinafanyìa nje ya nchi na mara nyingi zinataka muombaji awe na exposure na lugha za kigeni,mfano kuna program ya kueneza injili katika kisiwa cha Mayotte kilicho chini ya Mfaransa hivyo ukitaka kwenda huko ni laazima ukijue kifaransa na kiingereza
Hivyo kuandika humu siyo kujimwabafai
Na hao wanaokwenda wanapata hela nzuri sana
Kwa hiyo ww kinachokusukuma kutafuta kazi ya uchungaji ni kutafuta pesa?Wala sijimwambafai
Kuna hudama huwa zinafanyìa nje ya nchi na mara nyingi zinataka muombaji awe na exposure na lugha za kigeni,mfano kuna program ya kueneza injili katika kisiwa cha Mayotte kilicho chini ya Mfaransa hivyo ukitaka kwenda huko ni laazima ukijue kifaransa na kiingereza
Hivyo kuandika humu siyo kujimwabafai
Na hao wanaokwenda wanapata hela nzuri sana
Kwa dunia ya sasa wito pekee hautoshiUnakumbuka Petro aliambiwa nini na Yesu pale kwenye bahari ya Tiberia? Utume wa kondoo ni wa kuitwa sio wa kutafuta. Ikiwa unataka kuchunga kondoo wa Bwana kaa nae faragha muongee utapewa lakini je, utaweza???? Maana watadaiwa wote utakaopewa na Bwana. Hata Yesu mwishoni alitoa hesabu alivyosema kwenye Yohana 17 kwamba sikumpoteza hata mmoja isopokua yule mwana wa uovu ili andiko litimie.
Aisee nilikua sijaangalia avatar yake naunga mkono hoja.Sasa unataka uchungaji, kwenda nje ya nchi au kazi ya ualimu ? Nani akuachie kondoo ww ? Avata yako na uchungaji ni mbali mbali kabisa.
Shida ya wabongo hatupendi kuusema ukweli ulio mbele ya macho yetuKwa hiyo ww kinachokusukuma kutafuta kazi ya uchungaji ni kutafuta pesa?
Kama jibu ni ndiyo nakushauri nenda Mombasa!!
Ushawona waimbaji wa makoma mkuu?Aisee nilikua sijaangalia avatar yake naunga mkono hoja.
Kwani kila kitu kinaenda bungen mengi sana yako kwenye akili za watu na yanatendekaNashukuru kwa hii elimu
Na ninashukuru kwa kuniupdate
Zoezi hili limeanza lini,je kuna marekebisho ya sheria yaliyofanyika bungeni kupitisha hilo?
Umesahau kitu kimojaNilitembelea ma jengo ya makanisa mbalimbali katika mji wetu kama efatha, eagt, tag n.k. Honestly nikajisemea moyoni hii kazi inalipa sana. Imagine huyu mwingila ana kanisa kubwa kama hili kila mji nchini, dah!!!
Kwann usiwe mwalim wa kiswahil unataka kanisani wakati hata thiorojia hujasoma unapotea kabla hujaanzaNdani ya huduma naweza kuwa mwalimu wa neno la Mungu kama alivyo Mwakasege