Natafuta kazi ya uchungaji

usiongee vitu usivyojua ni muda sasa makanisa ya wakatoliki wanajitegemea kwenye swala la mapato na matumizi yao hamna pesa inayokwenda roma ikarudi kama zamani unaonekana unaongea tu ila undani wa mambo hujui kitu jitahidi kujua upana wa dini kwanza ndio uhitaji kuwa muongoza dini

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Nashukuru kwa ufafanuzi wako

Ondoa khofu miye siyo mlawiti,mbakai au mchafu

Rest assured
 
Una uhakika mkuu?
 
Ushawona waimbaji wa makoma mkuu?
Huyo wa kwenye avatar ndiyo mmoja wa kondoo aliyiyepotea inabidi arudishwe hemani

Ebu nenda kawaangaie waimbaji wa Makoma halafu urudi hapa
Sawa baba mchungaji.
 

Mt 28:19 SUV​

Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu.

===============
Hubiri ufunge kanisa unaweza kuwa chini ya dhehebu unalohisi wanamuhubiri Yesu na sio mafanikio ya kidunia.

Ukiiangazia zaidi toba

Mathayo 3:2 SRUV​

Tubuni; kwa maana ufalme wa mbinguni umekaribia.

Mk 8:36-37 SUV​

Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake? Ama mtu atoe nini badala ya nafsi yake?


Rum 10:15 SUV​

Tena wahubirije, wasipopelekwa? Kama ilivyoandikwa, Ni mizuri kama nini miguu yao wahubirio habari ya mema!


barikiwa sana mtumishi start from scratch
 
Hii ndiyo reply pekee tangu huu uzi umeanza ulionipa faraja

Barikiwa mkuu
 
Vp ustadh (ushekhe) haukufai au haulipi kama uchungaji? 😂
 
Nenda maeneo yenye msongamano wa watu, kama stendi, au sokoni anza kukemea mapepo; wakianguka wawili au watatu; unakuwa umepata ajira, kwa kupokea sadaka
Asante kwa ushauli wako

Ila sidhani kama naweza kuutekeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…