NGOMEKONGWE2021
JF-Expert Member
- Dec 6, 2021
- 616
- 1,225
Kwa nini tusianzishe kanisa letu ili tupige hela? mtaji wake siyo ghali sana 5m inatosha kuanzisha kanisa simple, ni maturubai, viti 100, mchanga,cement,kokoto na ..watu kama 10 wakuwatengeneza kwa ajili ya kufanyia miujiza...baada ya miezi mitatu hela inarudi unaanza kupata faidaMimi ni mtanzania mwenye diploma ya ualimu na mwviti enye ujuzi kamili katika Neno la Mungu na historia ya Kanisa
Naomba kazi ya uchungaji wa kondoo wa Bwana katika Kanisa lolote lenye uhitaji.
Wenu katika kazi
PS:
Nina uelewa mpana pia wa lugha ya kiengereza hivyo nipo tayari kuwaibika nje ya nchi
Mkuu are you serious?Kwa nini tusianzishe kanisa letu ili tupige hela? mtaji wake siyo ghali sana 5m inatosha kuanzisha kanisa simple, ni maturubai, viti 100, mchanga,cement,kokoto na ..watu kama 10 wakuwatengeneza kwa ajili ya kufanyia miujiza...baada ya miezi mitatu hela inarudi unaanza kupata faida
Njaa ndio itakayokuongoza, kutekeleza ama kutokutekelezaAsante kwa ushauli wako
Ila sidhani kama naweza kuutekeleza
Wote unaowaona, walianza hivyoKuna njia nyingi zakufanikisha ninachokihitaji,ila siyo kama ulivyoshauli
Kama bado anaishi kwa shemeji aanzishe huduma hapohapo?Azisha huduma yako hata sebuleni sio lazima uwe na kanisa
Sawa,mimi nimekuelewa. Unajua why nilikutaka uweke kwa urefu na upana hata ambao si triniterians waielewe.Ni vivuli vitatu vya kitu kimoja,ni kama kivuli cha asubuhi mchana na jioni cha kitu kimoja kinachohamaham kingana na mjongeo wa jua
Kazi ya uchungaji haitafutwi ni ya kujitolea kama sadaka kondoo wakikukubali basi unaanza kula madhabahuni.Mimi ni mtanzania mwenye diploma ya ualimu na mwenye ujuzi kamili katika Neno la Mungu na historia ya Kanisa
Naomba kazi ya uchungaji wa kondoo wa Bwana katika Kanisa lolote lenye uhitaji.
Wenu katika kazi
PS:
Nina uelewa mpana pia wa lugha ya kiengereza hivyo nipo tayari kuwaibika nje ya nchi
Kwenye mti nje ya nyumba mtaji biblia tuKama bado anaishi kwa shemeji aanzishe huduma hapohapo?
Sio, ila ilo halifanyi hapa Jf asiwepo mwenye imani hiyo ama nyingine nje Ukristo.Wewe ni Mbahai?
UsihofuSio, ila ilo halifanyi hapa Jf asiwepo mwenye imani hiyo ama nyingine nje Ukristo.
Uenda muundo wa swali langu halikuwa katika mpangilio mzuri hata ukashindwa kulielewa.Usihofu
Acha nipitie vitabu vya kibahai halafu nitakuja nikujibu kwa ukamilifu
Ninachokumbuka Mabahai huaamini kuwa kila baada ya miaka 1000 Mungu huleta nabii atakayeleta injili kulingana na wakati tuliyopo hivyo baada ya Mtume Muhamadi ndiyo akaja Bahaulah
Nikikaa ntafunguka kwa marefu
Ndugu, huduma ya kumtumikia MUNGU inaombwa? Umetia aibu ukristo aisee, sihitaji kukutambua kama mkristo mwenzangu isipokua msaka tonge tuMimi ni mtanzania mwenye diploma ya ualimu na mwenye ujuzi kamili katika Neno la Mungu na historia ya Kanisa
Naomba kazi ya uchungaji wa kondoo wa Bwana katika Kanisa lolote lenye uhitaji.
Wenu katika kazi
PS:
Nina uelewa mpana pia wa lugha ya kiengereza hivyo nipo tayari kuwaibika nje ya nchi
Define God and give two examples!Mimi ni mtanzania mwenye diploma ya ualimu na mwenye ujuzi kamili katika Neno la Mungu na historia ya Kanisa
Naomba kazi ya uchungaji wa kondoo wa Bwana katika Kanisa lolote lenye uhitaji.
Wenu katika kazi
PS:
Nina uelewa mpana pia wa lugha ya kiengereza hivyo nipo tayari kuwaibika nje ya nchi
Mkuu niweke waziUenda muundo wa swali langu halikuwa katika mpangilio mzuri hata ukashindwa kulielewa.
Ni hvi: uko sahihi kwa ulichonijibu ila hakipo in detail jambo linalofanya iwe vigumu kwa aside mkristo kuelewa ama kukubaliana na ulichonijibu..
Nb:, Mungu akupe hitaji la Moyo wako.