Natafuta kazi ya udereva kwa mtu binafsi, familia, viongozi au road trips

Julius1007

New Member
Joined
Sep 21, 2026
Posts
3
Reaction score
10
Habari!

Naitwa Julius, nina umri wa miaka 42, na natafuta kazi ya udereva kwa mtu binafsi, familia, viongozi au safari za barabarani (road trips), ikiwemo safari ndefu za kifamilia.

Nina uzoefu wa miaka 10 katika kuendesha safari fupi na ndefu, ndani na nje ya Tanzania. Pia nimepata mafunzo maalum ya udereva kupitia Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), ikiwemo mafunzo ya kuendesha magari ya viongozi, na nina Leseni ya Daraja C.

Nina uwezo mzuri wa kuwasiliana kwa Kiswahili na Kiingereza, nina nidhamu, mwaminifu na nina uzoefu wa kuendesha katika mazingira na safari mbalimbali.

Ninaishi Tegeta, Dar es Salaam, na niko tayari kwa kazi za muda mfupi au mrefu kulingana na makubaliano.

Kwa mawasiliano: 0724 910 223

Naomba tushikane mkono wakuu. Nipo tayari kufanya kazi!
 
Miaka 42! Mstaafu kabisa wewe. Ila Africa sijui katuroga Nani.
 
Umeongea kwa upole na unyenyekevu mkubwa sana. Unaonekana mtu poa na huna shida kabisa, Mungu akujalie haja ya moyo wako
 
Back
Top Bottom