Natafuta kazi ya uhasibu naombeni msaada wenu
Mbona maelezo njiwa sana? walau hata basi ungejinadi kwa kueleza uzoefu ulionao,ujuzi wa lugha za ziada kama wafahamu n.k. Huenda hata Muajiri akavutiwa kukuajiri hata kama hana upungufu wa Watu kwenye kampuni/ofisi.
 
Utapata Ila Kama unaweza mpatie MTU -A-run account zako za mitandaoni hasa JF na sehemu nyingine ambazo unazitumia kutafuta Ajira .

Then sehemu ya kuweka namba ya Simu jitahidi uweke Barua pepe yako.
 
kuna kitu anakitafuta uyo sio kila anae sema kitu anamaanisha

huyu si alikuja na uzi akasem yeye n muhasibu
Yes ndo maana nikasema bado hajajua namna sahihi au nzuri ya kutumia social networks.
 
Hello naitwa jenipha natafuta kazi ya receptionist naombeni msaada wenu 0713776534
Anahitajika Receptionist
Jinsia—kike
Location —TABATA ni hotel salary —200'000

uzoefu kuanzia MIAKA 2 na awe anaweza kutumia computer.
Tuma cv ndio upige cm

0782717711
+255679756122
Kazi zipo kwa agent
 
Anahitajika Receptionist
Jinsia—kike
Location —TABATA ni hotel salary —200'000

uzoefu kuanzia MIAKA 2 na awe anaweza kutumia computer.
Tuma cv ndio upige cm

0782717711
+255679756122
Kazi zipo kwa agent
Anaombaga huyu? Mbona watu kibao walijikomiti kumsaidia na hajawatafuta
 
Back
Top Bottom