Dady6
Member
- Mar 20, 2020
- 13
- 12
3 Job Opportunities at Green Bird Education Institution - AJIRA YAKO
3 Job Opportunities at Green Bird Education Institutio
ajirayako.co.tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ajirayako.co.tz
Tembeza cv kwenye recruiting agency ...acha uvivu...!!radar recruitment cv people etc....Naitwa jenipha Nimemaliza degree ya uhasibu chuo kikuu chaa Dar es Salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu watanzania 0713776534
Kwa hiyo expert umeamua kufukua mafaili ya nyuma,wala sijapenda aisee
Kweli Ila naomba utaje hizo recruiting agency tuzifahamu .Tembeza cv kwenye recruiting agency ...acha uvivu...!!
Tafuta baa ya jirani hapoNaitwa jenipha Nimemaliza degree ya uhasibu chuo kikuu chaa Dar es Salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu watanzania 0713776534
Zipo kibao Googlehapo utazipata zipo 20 plus.....radar recruitment cv people etcKweli Ila naomba utaje hizo recruiting agency tuzifahamu .
Hii itasaidia Sana Kwa vijana ambao wametoka chuo na waliopo mtaani.
Great , nadhani wewe ni hazina Kwa TaifaZipo kibao Googlehapo utazipata zipo 20 plus.....radar recruitment cv people etc
Malaika wa bwana wakuongoze ukapate kutimiza haja yako.Naitwa jenipha Nimemaliza degree ya uhasibu chuo kikuu cha Dar es salaam natafuta kazi ya uhasibu au customer service nipo Dar es salaam 0713776534
Malaika wa bwana wakuongoze ukapate kutimiza haja yako.
Sasa tuseme Amina kwa pamoja napokea kazi ya uhasibu.
Bwana ametenda,usisahau kumtanguliza mungu kila unapo ingia na kutoka.Amina❤️
Niombeeni na Mimi nimepeleka CVBwana ametenda,usisahau kumtanguliza mungu kila unapo ingia na kutoka.