Natafuta kazi ya uhasibu naombeni msaada wenu
Wewe Kila siku unabandika bandiko hapa ni kweli hujawahi shikwa mkono na mtu au una jambo lako humu ndani
Inawezkn hajapata mkuu, sema anavyo andika siyo aonyeshe yeye ni fresh graduate, au Hana experience, au anayo ya muda gani, ili iwe rahisi kupata,
 
Inawezkn hajapata mkuu, sema anavyo andika siyo aonyeshe yeye ni fresh graduate, au Hana experience, au anayo ya muda gani, ili iwe rahisi kupata,
Kwanza haweki vitu muhimu hapo Kuna kutakuwa kujua walau software kadhaa za kihasibu haonyeshi ana uzoefu upi yaani ni shida tu hata kusaidika ni ngumu
 
Ungeweka sifa kwanza mtu awezi kukupigia simu wakati wwe ndio mwenye shida
 
Back
Top Bottom