Natafuta kazi yoyote ya kufanya nipo wilaya ya kahama mjini

Natafuta kazi yoyote ya kufanya nipo wilaya ya kahama mjini

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
400
Reaction score
1,429
Mimi ni kijana wa miaka 22 ,natokea wilayani kahama , natafuta kazi yoyote ile ya kufanya kwa anaye hitaji mfanyakazi au connection ya kazi mimi nipo tayari kufanya , namba zangu ni 0715308721
 
Humu watakupa best wishes TU na siyo KAZI Cha kufanya bwana mdogo tafuta mafundi ukaguse vubarua huko
 
Dogo ukitafuta sana kazi ukakosa nitafute mimi nikupe kazi ya kufanya ambayo nina imani huiwezi.
 
Back
Top Bottom