Natafuta kazi za ndani kwa Mwanaume aliyefiwa na Mkewe.


It's Madame B again..!?? msalimie mpenzi wangu AmKATRINA
 
Last edited by a moderator:
Samahani mkuu. Ila nimeridhika na maelezo aliyokupatia kuwa anataka kuongeza kipato. Anaonyesha anakujali zaidi na anataka msaidiane. We mruhusu tu, maisha kusaidiana na wala si kila kizuri sharti ule na nduguyo.

Mpeni taarifa huyo.
Kazidi kunibanabana tu.
Ninachokula hakieleweki, ninachovaa ni majanga matupu.
Hela yenyewe inatoka kwa mgao.
Heri nijitafutie tu.
 
Nashukuru sana mkuu!huyu mwanamke simuelewi kabisa,mimi napesa nyingi sana,sijui anatafuta nini huko nje!

naombeni ushauri wa kuishi na huyu mwanamke kwa sababu mimi bado nampenda!

Hata mimi bado nakupenda.
Sema ubahili ndio umenikimbiza kwako.
 
Ya mamii na kwa no ninayoona inachunngulia hapo chini count kwamba kazi unayo tayari tena nahisi masaki.all da best shoste ila usafi utulie maanani hasa wa huko ndani utakapokuwa unafanyia kazi

Usijali mamito.
Mie nimetoka kwa Baba na Mama.
Babu na Bibi.
Na namshukuru Kungwi gfsonwin, Nyakanga Lisa na Somo snowhite kwa kuniloweka chunguni.
Asante mamii.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu anataka pesa yako iwe mingi zaidi, kufanya kazi si kuachana, ingawa inaonekana una mnyasa nyasa na mijisenti yako.

Kabisa.
Ananinyanyasa sana.
 
Nataka nimfungulie kampuni kubwa ambayo itakuwa mali yake,lakini bado hataki!

Sijue kwanini huyu mwanamke anapenda sana pesa za nje!

Nimeshasema sitaki Pesa zako.
Nataka nifanye kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…