Navy seal soldier
Senior Member
- Oct 6, 2019
- 148
- 276
Habari Wakuu,
Kabla ya yote naomba Nikiri kwamba Hali ya maisha imekuwa tough Sana especially kwa sisi vijana tunaohustle kuanza maisha Bila ya kuwa na blueprint ( ramani) ya kueleweka ya kutupatia regular income hapa mjini.
Binafsi ni kijana ambaye nimeamua kung'atuka nyumbani na kuja apa jijini dar es salaam kutafta michongo ya hapa na pale Kama mnavojua Wakuu ukubwa Auna kengele sometimes inabidi ufanye maamuzi ya kuanzisha maisha yako no matter what Maana Watu wanasema Kama mambo ayaendi nenda wew
Kwa sasa ni mwezi umekata na nimefikia kwa ndugu, na Kama mnavojua kuishi kwa ndugu tena vitimbi vitimbi vya hapa na pale uwa havikosekani.
Kwa heshima na tahadhima Nimeona nije hapa jukwaani Kama kuna Mtu anapitia Hali Kama yangu tuweze kuunganisha nguvu tuchangie kodi tuchukue room ya bei nafuu tusongeshe maisha kibishi uku tunafukuzia michongo na Harakat au Kama kuna Mtu labda amepanga Tayr na anaona amepwaya kidogo niweze kumuongezea nguvu nijishikize Huku nikiseti Harakat zangu, Hii ni kutokana na bajeti yangu kuwa finyu na Bado cijaielewa mitaa vizuri, kodi irange 30-40 kwa mwezi
Naomba kuwasilisha wakuu
0657288997 contact me for more info
Merci"