Natafuta kijana mwenzangu tuchangie kodi ya pango wakati tuna-hustle kutafuta maisha

Natafuta kijana mwenzangu tuchangie kodi ya pango wakati tuna-hustle kutafuta maisha

Naomba kuuliza hivi single room kali yenye dali na umeme fresh kabisa
Labda na dirisha ni aluminum na mlangoni gate kabisa kwa dar inaweza kua shingap
Inategemea eneo na eneo (eg mitaa ya Mbezi beach,Masaki ni high end wakati mitaa kama ya Temeke,Tandika,ni low end) ila andaa kati ya kuanzia 85,000 hadi 200,000. Hizi nime-assume kuwa unataka yenye choo cha ndani (self contained)
 
200,000 hapo Tabata anapata vyumba vitatu na luku ya kujitegemea.
 
Ukiamua kujitosa jitose haswa ukae peke yako usikae na mtu ambae hujuia historia yake utajikuta kwny shda ingine arif alaf Kuna popobawa
 
Nenda vijiwe vya mdalali uulize vyumba vya bei rahisi kama vipo, hao ndo huwa wana detail za mitaa mingi.

Maeneo ya makumbusho kule, manzese yote ile, magomeni, buguruni kule tabata nako huwezi kosa vyumba vya 30k na 20k.
Kuna jamaa angu alikua anakaa segerea pale chumba 30k, kizuri kabisa +umeme na maji ya dawasko vipo pale.

Kwahiyo inategemeana na ww mishe zako unapigia wapi.
 
Back
Top Bottom