Navy seal soldier
Senior Member
- Oct 6, 2019
- 148
- 276
- Thread starter
-
- #21
Unaweza Nielekeza mahali ambapo naweza pata room ya 20kChumba kisicho na umeme ni 20K hapo simu utachaji kwa jirani. Pia kuna nyumba za 30K zina umeme ila zipo uswahilini sana.
Bora ukae mwenyewe ndugu.
Upo Dar sehemu gani?Unaweza Nielekeza mahali ambapo naweza pata room ya 20k
Unaishi wapi kwa sasaUnaweza Nielekeza mahali ambapo naweza pata room ya 20k
Inategemea eneo na eneo (eg mitaa ya Mbezi beach,Masaki ni high end wakati mitaa kama ya Temeke,Tandika,ni low end) ila andaa kati ya kuanzia 85,000 hadi 200,000. Hizi nime-assume kuwa unataka yenye choo cha ndani (self contained)Naomba kuuliza hivi single room kali yenye dali na umeme fresh kabisa
Labda na dirisha ni aluminum na mlangoni gate kabisa kwa dar inaweza kua shingap
Mbezi luguruniUpo Dar sehemu gani?
60K, 70K, 80K kutegemeana na maeneo. Pia kama nyumba ina geti na luku ya kwako bei inaongezeka.Naomba kuuliza hivi single room kali yenye dali na umeme fresh kabisa
Labda na dirisha ni aluminum na mlangoni gate kabisa kwa dar inaweza kua shingap
LuguruniUnaishi wapi kwa sasa
200,000 hapo Tabata anapata vyumba vitatu na luku ya kujitegemea.Inategemea eneo na eneo (eg mitaa ya Mbezi beach,Masaki ni high end wakati mitaa kama ya Temeke,Tandika,ni low end) ila andaa kati ya kuanzia 85,000 hadi 200,000. Hizi nime-assume kuwa unataka yenye choo cha ndani (self contained)
Sema kibamba,sio kila mtu anajua luguluni ilipo,na mishe zako unapigia wapiLuguruni
Ukihamia Tandika unapata geto la 20K au 30K fasta.Mbezi luguruni
Ni kweli mkuu,inawezekana. Ila bei nimeweka kulingana na maelezo yake mkuu. Soma kwa umakini maelezo yake, utanielewa kwa nini nimeweka bei hizo.200,000 hapo Tabata anapata vyumba vitatu na luku ya kujitegemea.
60k+Naomba kuuliza hivi single room kali yenye dali na umeme fresh kabisa
Labda na dirisha ni aluminum na mlangoni gate kabisa kwa dar inaweza kua shingap
[emoji3][emoji3][emoji3]Kwani imekuwaje tena, JF si kila mtu ni tajiri.....
Tabata ipi hiyo mkuu200,000 hapo Tabata anapata vyumba vitatu na luku ya kujitegemea.
Kisiwani, Kimanga, Mawenzi n.kTabata ipi hiyo mkuu