Natafuta kijana mwenzangu tuchangie kodi ya pango wakati tuna-hustle kutafuta maisha

Ngoja wenye nyumba zao wakusaidia hata room moja ila usisahau kuwapunguzia na majukumu kwa wake zao maana huwa majamaa haya huchoka sana na kaz
Heheheheheh yani apewe support kwenye nyumba ya mtu wakati anataka geto?
 
Inategemea eneo na eneo (eg mitaa ya Mbezi beach,Masaki ni high end wakati mitaa kama ya Temeke,Tandika,ni low end) ila andaa kati ya kuanzia 85,000 hadi 200,000. Hizi nime-assume kuwa unataka yenye choo cha ndani (self contained)
Kimara zipo nyumba za hivyo kwa 85k tu ghetto self lililosimama fresh
 
Akienda hao lazma watampasua tu huwajui madalali wewe ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Inategemea eneo na eneo (eg mitaa ya Mbezi beach,Masaki ni high end wakati mitaa kama ya Temeke,Tandika,ni low end) ila andaa kati ya kuanzia 85,000 hadi 200,000. Hizi nime-assume kuwa unataka yenye choo cha ndani (self contained)

Kaaah
 
Kushare chumba ni shughuli pevu aise, kama ndugu kibao tu wanashindwa ishi room moja huyu yuko safi huyu yuko rough huyu anaoga huyu kuoga kwake mwiko sembuse kwa watu baki wawili? Anyways kila la kheri.
 
Nenda Mbagala Mkuu kule utaweza kupata vyumba vya bei nafuu, hata chakula pia..
Nenda njee ya mji kama madale , cahnika kitonga huko
 
Hahahhaha Exile ndio kipengele manina ila nae lazma atakutwanga exile pia! Nakumbuka enzi ya chuo kuna mdau nilikuwa namgonga Exile mpaka sio poa! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sijaelewa,ndo kumfanyaje
 
Dogo komaa hizi ndio dalili za upunga. Badala ya kutafuta demu akusaidie kusafisha geto akupe challenges ununue na mapazia na kitanda kizuri we unataka kulala geto na mwanaume mwenzako.

Vijana wa siku hizi shida tupu. Tafuta geto hata ya buku 30 kwa mwezi acha ubwege utapumuliwa.
 
Hii majuu ipo sana, zinaitwa share house and rooms......sema kibongo bongo watu wana mitabia ya hovyo hovyo na isiyo tabirika plus ulozi, uchawi na matakataka kama hayo na discipline in general ipo chini.
Majuu kwenyewe wanakaa wenye tabia moja mambo ya kukaa na kingese utaweza? Huyu dogo atacute room aache mambo ya kuchangia atapumuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ