Natafuta kijana mwenzangu tuchangie kodi ya pango wakati tuna-hustle kutafuta maisha

Kweli kabisa ni risk lakini kwa sas naona Kama Sina option daah
Kama huwezi kuishi kivyako bora kurudi kwa wazee ukajipange upya! Yaani kuokoteza li mtu tu mtaani mkaishi pamoja? Utajuta!
 
Nilikuwa na wazo lakini kwa ulivyo mjibu jamaa umekosa busara,Mambo mengine watu wanakutega wakuone umtu wa namana gani,ungemjibu kwa busara ukute Angekuwa moja ya msaada wako.
Kaka me Niko very humble, lakin uyo brother amekuja apo juu ana ni accuse kabisa kwa matusi na maneno machafu, Kama akuwa na kitu positive cha kuchangia ci Angekaa kmya tu
 
Bora uchukue chumba chako mwenyewe tu, maana unaweza kupata mtu lakini hapo mahali kukawa ni machinjio ya mademu.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Majuu kwenyewe wanakaa wenye tabia moja mambo ya kukaa na kingese utaweza? Huyu dogo atacute room aache mambo ya kuchangia atapumuliwa.
we jamaa mbona umekazania sana mambo ya kupumuliana ndo michezo yako nini?
 
we jamaa mbona umekazania sana mambo ya kupumuliana ndo michezo yako nini?
Mjini hapa , wanaume huwa hawakai rum moja wanaume wawili mzee. Heri useme unatafuta mtu mchangie nyumba hata kama ya vyumba viwili mchangie sebule na jiko Ila kila mtu na geto yake.

Unaanzaje kulala na mwanaume mwenzio hata hamjuani na unapata usingizi kabisa???

Mambo mengine bana muwe mnajiuliza kama wanaume.
 
Hahahhaha Exile ndio kipengele manina ila nae lazma atakutwanga exile pia! Nakumbuka enzi ya chuo kuna mdau nilikuwa namgonga Exile mpaka sio poa! [emoji23][emoji23][emoji23]
Inategemea kama anajua mbinu za kum-win lomama aje mageton na kupiga show sio amlete kuangalia MamboTv

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Kama una dem apo ndio wakati muafaka wa kuanza Maisha muhustle wote
Sio mambo ya kusubiriana mpaka ufanikiwe ndio aje
 
Panga mwenyeewe kuishi na mtu kazi sana hulali hata kwa rahaa
 
Vyumba vipo unakaa dar gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…