Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daimon Mkocha jamaa yuko sahihi Round up ni hatari
Hata mimi imenishinda, inakawia sana kuua magugu nimepiga sehemu wiki sasa na bado kuna majani yanaonekana kuwa na afya njema kabisa.roundup za sasa hazina ubora kama za mwanzo nimepiga naona inachelewa kuua majani
cc 700 ni sawa na kiasi gani kwa ujazo wa lita?Round up inaenda na ujazo, ukiweka kidogo itaua majani taratibu, ukiweka ya kawaida itaua majani kwa spidi ya kawaida, ukiweka nyingi itaua majani kwa spidi ukiweka nyingi sana itaua majani kwa spidi ya ajabu sana.
Tatizo sisi wakulima tunalima huku hatuna mitaji ya kutosha ndio maana tunahangaika na mambo madogo.
Weka cc 600 au 700 kwenye bombs la 20 au 16 litre uone matokeo chanya, na nyasi hazitaota mpaka mwezi unaisha, trust me niko field.
poa poa shukrani sanaRound up inaenda na ujazo, ukiweka kidogo itaua majani taratibu, ukiweka ya kawaida itaua majani kwa spidi ya kawaida, ukiweka nyingi itaua majani kwa spidi ukiweka nyingi sana itaua majani kwa spidi ya ajabu sana.
Tatizo sisi wakulima tunalima huku hatuna mitaji ya kutosha ndio maana tunahangaika na mambo madogo.
Weka cc 600 au 700 kwenye bombs la 20 au 16 litre uone matokeo chanya, na nyasi hazitaota mpaka mwezi unaisha, trust me niko field.
Nilinunua kariakoo, lita moja 10,000/=inapatikana wapi na kwa bei gani kwa ujazo gani
Yawezekana imeshachakachuliwa!roundup sijui wanakosea wapi sasa hv
Kuna dawa inaitwa Rondopaz na parapazHabari wapendwa, mimi ni mkulima nilipenda kujua kuhusu kiua gugu achacho kina nguvu zaidi.
Dawa ya kuua majani
Hii tumia kuua magugu sehemu isiyonamazaoTumia KARACHI
Rindopaz ni bei gani kwa litaKuna dawa inaitwa Rondopaz na parapaz
Hizi ni kiboko kama inataka kukausha Majani ya juu tu kwa haraka piga parapaz ila kama ni ndago au yenye mizizi piga rondopaz hii inaenda taratibu ila ni kiboko yao. Kwa waiowahi itumia wanaijua
11000 hadi 12000 kwa LitaRindopaz ni bei gani kwa lita