Natafuta kiua gugu

Natafuta kiua gugu

Nilipiga dawa ya kichina "weedall", mpaka nikayaonea huruma majani yalivyo kaushwa hii kitu hatari sana
 
roundup za sasa hazina ubora kama za mwanzo nimepiga naona inachelewa kuua majani
Hata mimi imenishinda, inakawia sana kuua magugu nimepiga sehemu wiki sasa na bado kuna majani yanaonekana kuwa na afya njema kabisa.
 
Round up inaenda na ujazo, ukiweka kidogo itaua majani taratibu, ukiweka ya kawaida itaua majani kwa spidi ya kawaida, ukiweka nyingi itaua majani kwa spidi ukiweka nyingi sana itaua majani kwa spidi ya ajabu sana.

Tatizo sisi wakulima tunalima huku hatuna mitaji ya kutosha ndio maana tunahangaika na mambo madogo.

Weka cc 600 au 700 kwenye bombs la 20 au 16 litre uone matokeo chanya, na nyasi hazitaota mpaka mwezi unaisha, trust me niko field.
 
cc 700 ni sawa na kiasi gani kwa ujazo wa lita?
 
Round up inaenda na ujazo, ukiweka kidogo itaua majani taratibu, ukiweka ya kawaida itaua majani kwa spidi ya kawaida, ukiweka nyingi itaua majani kwa spidi ukiweka nyingi sana itaua majani kwa spidi ya ajabu sana.

Tatizo sisi wakulima tunalima huku hatuna mitaji ya kutosha ndio maana tunahangaika na mambo madogo.

Weka cc 600 au 700 kwenye bombs la 20 au 16 litre uone matokeo chanya, na nyasi hazitaota mpaka mwezi unaisha, trust me niko field.
poa poa shukrani sana
 
Habari wapendwa, mimi ni mkulima nilipenda kujua kuhusu kiua gugu achacho kina nguvu zaidi.

Dawa ya kuua majani
Kuna dawa inaitwa Rondopaz na parapaz
Hizi ni kiboko kama inataka kukausha Majani ya juu tu kwa haraka piga parapaz ila kama ni ndago au yenye mizizi piga rondopaz hii inaenda taratibu ila ni kiboko yao. Kwa waiowahi itumia wanaijua
 
Rindopaz ni bei gani kwa lita
 
Back
Top Bottom