natafuta kiumbe wa kubadilishana naye mawazo jf

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Habari yako?. hujambo?Kichwa cha habari kinakuhusu tena sana tu.Njoo tubadilishane mawazo.Mimi mawazo yangu ni yakua tajiri mkubwa mwenye marafiki wengi. Wewe mawazo yako ni yapi?. njoo tubadilishane iwe kwa pm au hapa hapa.Hii inakuhusu wewe kiumbe unaye soma huu uzi.mia
 
mawazo mimi ninayo mengi kweli..ila saiv nawaza niende wapi kupata lunch..ilo tunaweza badilishana?
 
mawazo mimi ninayo mengi kweli..ila saiv nawaza niende wapi kupata lunch..ilo tunaweza badilishana?

halafu wewe nakutafuta siku nyingi. upo sehemu gani? nataka nikubadilishie wazo sehemu ya kwenda kupata msosi. mia
 
siku nyingi?.ngapi?..umechelewa maana apa nishapata pa ukweli tu
halafu wewe nakutafuta siku nyingi. upo sehemu gani? nataka nikubadilishie wazo sehemu ya kwenda kupata msosi. mia
 
Me, nina kawazo ka kujinyonga, vipi tunaweza kubadilishana mimi nikupe haka kawazo na wewe unipe kakwako? Yani niwe tajili na wewe ukaji pige kama
 
mimi nina mawazo ya kununua shamba
je tutaendena na wewe mutoto ya mujini?
 
mimi nina mawazo ya kununua shamba
je tutaendena na wewe mutoto ya mujini?

unataka kutununua shamba maeneo gani?
inatakiwa ununue shamba wakati wa masika ili usije nunua sehemu inayo tuama maji kama reginard mengi. si unakumbuka maji yalivyo ingia hadi kwake kile kipindi cha mafuriko dar?. mimi ntakusindikiza.
naomba tuwasiliane kwa anwani ya;
mamndenyinakuzimia@yahoo.com. mia
 
Me, nina kawazo ka kujinyonga, vipi tunaweza kubadilishana mimi nikupe haka kawazo na wewe unipe kakwako? Yani niwe tajili na wewe ukaji pige kama

hilo wazo sio mzuka. kwani wewe mtu wa iringa au mbeya?. mia
 
tunabadilishana kwa muda au ndio moja kwa moja?...
mia
 
mi ' ninawazo la kujirisha Nipo gorofa ya 9 na umeme hakuna ....
 
mia bana
naona una bonge la maushauri
poa utanisindikiza wakati ukifika mia.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…