natafuta kiumbe wa kubadilishana naye mawazo jf

natafuta kiumbe wa kubadilishana naye mawazo jf

Unajua huwa napata wakati mgumu sana kuukubali huu msemo wa kubadilishana mawazo...maana huwa siamini uwezo wa watu wengine wawazavyo!!
Yaani from nowhere nianze tu kumpa mtu mawazo yangu wakati najua ya kwake ni ya kiboya...!!!
 
nimejaribu kuyabasilisha mawazo yangu yamekwama, mwenye shuttle naomba lift nihamie mars!
 
Back
Top Bottom