natafuta kiumbe wa kubadilishana naye mawazo jf

natafuta kiumbe wa kubadilishana naye mawazo jf

unataka kutununua shamba maeneo gani?
inatakiwa ununue shamba wakati wa masika ili usije nunua sehemu inayo tuama maji kama reginard mengi. si unakumbuka maji yalivyo ingia hadi kwake kile kipindi cha mafuriko dar?. mimi ntakusindikiza.
naomba tuwasiliane kwa anwani ya;
[email protected]. mia

Kweli wewe kipanga..sasa shamba si ndo linahitaji maji mengi??? hii kali kweli
 
Utanirudishia wazo langu au ndio lote lote??
 
Nipo hapa tameko na mawazo yangu yote nimesha ya hifadhi ndani ya rambo fanya hima uje tubadilishane
 
Nipo hapa tameko na mawazo yangu yote nimesha ya hifadhi ndani ya rambo fanya hima uje tubadilishane

angalia mateja wa keko wasikuibie hiyo rambo. nakuja sasa hivi. nisubiri hapo relax pub. mia
 
hahaha mie nina wazo la kuponda mali kufa kwaja! so tafuta kwanza utajiri ukishaupata nitafute nikuonyeshe wanapondaje mali...............
 
hahaha mie nina wazo la kuponda mali kufa kwaja! so tafuta kwanza utajiri ukishaupata nitafute nikuonyeshe wanapondaje mali...............

unatumia kifaa gani kuponda?. mia
 
Back
Top Bottom