JiweLinaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,737
- 2,139
Tambua kuwa Remmy ni dada yako. sheria na masharti kuzingatiwa. mia
hahahahaha wasiwasi wako ndio mwanzo wa maradhi yako
Tambua kuwa Remmy ni dada yako. sheria na masharti kuzingatiwa. mia
wewe njoo kwangu tutagonganisha vifaa vyetu wenyewe na cheche zitatokea. miakama unaona dongo basi! figganigga naweza ponda raha kwa mchi!! Jiwe Linanoishi keshanitolea nje
wewe njoo kwangu tutagonganisha vifaa vyetu wenyewe na cheche zitatokea. mia
asante kwa ofa lakini hapana!
hapana nini? unapiga tege burungutu la hela?. mia
nimejaribu kuyabasilisha mawazo yangu yamekwama, mwenye shuttle naomba lift nihamie mars!
sitachelewa. naomba unijibu pm nlokutumia. p'se! p'se!. nakuhitaji mpenzi wangu nakuhitaji by kez T. Mia
mimi nakutaka wewe..huyo mwingine ulihudhulia harusi?. ni wewe nasema ni wewe by bibi cheka. miampenzio?
hivi NTIBA unajua nakudai?. kumbuka ulinambia ukija utanilete shati jeupe lenye mikono mirefu. lakini ukaja bila kulileta nami nikasahau kukudai. sasa ntaandamana hadi unipe. kama hutaki tugonganishe nipe sharti langu hapa hapa. mianina kila kitu eeh!!!
Habari yako?. hujambo?Kichwa cha habari kinakuhusu tena sana tu.Njoo tubadilishane mawazo.Mimi mawazo yangu ni yakua tajiri mkubwa mwenye marafiki wengi. Wewe mawazo yako ni yapi?. njoo tubadilishane iwe kwa pm au hapa hapa.Hii inakuhusu wewe kiumbe unaye soma huu uzi.mia
hivi NTIBA unajua nakudai?. kumbuka ulinambia ukija utanilete shati jeupe lenye mikono mirefu. lakini ukaja bila kulileta nami nikasahau kukudai. sasa ntaandamana hadi unipe. kama hutaki tugonganishe nipe sharti langu hapa hapa. mia
unataka kusema wewe hapo ulipo hauna moyo? wewe ni #SOLO au? sasa unaishije?. ahadi ni deni tena acha rongorongo wewe binti...nasema hivi, nipe shati rangu kama vipi leo usiku nalifuata tena nikija nalala huko huko kwako. miakutoa ni moyo figganigga
unataka kusema wewe hapo ulipo hauna moyo? wewe ni #SOLO au? sasa unaishije?. ahadi ni deni tena acha rongorongo wewe binti...nasema hivi, nipe shati rangu kama vipi leo usiku nalifuata tena nikija nalala huko huko kwako. mia
mbona unalazimisha? shati lako nilimpa mwenzio ana nyama laini ya ulimi, si kama wewe hapo!