figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
-
- #21
CHAI CHUNGU hongera mwaya
naona bi dada aliamua kumwaga manyanga kule jukwaa kubwa
kila la kheri mwaya.
mia bana
naona una bonge la maushauri
poa utanisindikiza wakati ukifika mia.
unataka kutununua shamba maeneo gani?
inatakiwa ununue shamba wakati wa masika ili usije nunua sehemu inayo tuama maji kama reginard mengi. si unakumbuka maji yalivyo ingia hadi kwake kile kipindi cha mafuriko dar?. mimi ntakusindikiza.
naomba tuwasiliane kwa anwani ya;
mamndenyinakuzimia@yahoo.com. mia
Kweli wewe kipanga..sasa shamba si ndo linahitaji maji mengi??? hii kali kweli
chelewa chelewa utakuta mwana si wako..
tuanze kufanya sasa hivi mazoezi ya kusindikizana. mi leo nataka unisindikize club. mia
Kweli wewe kipanga..sasa shamba si ndo linahitaji maji mengi??? hii kali kweli
mtu mzima dawa. nimependa hili wazo lako. twende wapi kufungua sabato sasa? miamia huko na uzee huu mkanitoemacho hapanakama kwaya twende zetu mia
tunabadilishana. mbona huelewi?. nipe wazo. miaUtanirudishia wazo langu au ndio lote lote??
mambo mpenzi?!
Nipo hapa tameko na mawazo yangu yote nimesha ya hifadhi ndani ya rambo fanya hima uje tubadilishane
hahaha mie nina wazo la kuponda mali kufa kwaja! so tafuta kwanza utajiri ukishaupata nitafute nikuonyeshe wanapondaje mali...............