natafuta kiumbe wa kubadilishana naye mawazo jf

nina kila kitu eeh!!!
hivi NTIBA unajua nakudai?. kumbuka ulinambia ukija utanilete shati jeupe lenye mikono mirefu. lakini ukaja bila kulileta nami nikasahau kukudai. sasa ntaandamana hadi unipe. kama hutaki tugonganishe nipe sharti langu hapa hapa. mia
 
Last edited by a moderator:

Kiumbe gani unatafuta, hata punda sawa?
 
hivi NTIBA unajua nakudai?. kumbuka ulinambia ukija utanilete shati jeupe lenye mikono mirefu. lakini ukaja bila kulileta nami nikasahau kukudai. sasa ntaandamana hadi unipe. kama hutaki tugonganishe nipe sharti langu hapa hapa. mia

kutoa ni moyo figganigga
 
Last edited by a moderator:
unataka kusema wewe hapo ulipo hauna moyo? wewe ni #SOLO au? sasa unaishije?. ahadi ni deni tena acha rongorongo wewe binti...nasema hivi, nipe shati rangu kama vipi leo usiku nalifuata tena nikija nalala huko huko kwako. mia
 
mbona unalazimisha? shati lako nilimpa mwenzio ana nyama laini ya ulimi, si kama wewe hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…