Natafuta kwa udi na uvumba dawa ya kuondoa vyakula tumboni ili kitambi kiishe haraka

Kunywa dawa ya kuharisha!
 
Mkuu, kama uko serious tafuta virutubisho fulani hivi vya forever living Company vinaitwa C9, utakuja kunishukuru baadae! Usisahau kunialika kwenye hiyo harusi yenu, hata nikiwa paparazi inatosha!
 
Kazi ipo
 
Rahisi kabisa.Amka asubuhi mapema,andaa maji safi lita mbili,kama we ni mnene zaidi fanya lita 3 kabisa.Kabla hujala chochote kunywa maji yote(itakuwia ngumu kidogo) lakini jitahidi umalize yote.Hakikisa siku hiyo huna mtoko kabisa!! na kaa karibu
na choo!!
 

Tunaomba jinsia yako kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…