Natafuta lodge au hoteli nzuri ya kukaa na familia Bagamoyo kwa wiki moja

Natafuta lodge au hoteli nzuri ya kukaa na familia Bagamoyo kwa wiki moja

Niliandika laki moja! Ila sioni nikipata sehemu ya maana
Nimecheck hapa naona iko hivyo usemavyo lakini last time haikuwa expensive

Jaribu kufanya mawasiliano na sehemu hizo maana utapata "fam rooms" kutoka na umri pia so watahitaji idadi,umri ili wafahamu wanakupa vipi kutokana na offer yao

Pia nimeangalia naona zipo nyingine lakini baadhi ya details zimefichwa so jaribu kuwasiliana nao,na nimeona firefly inacost 41 USD (2 beds in dorms) kwa 1 night.
 
Wadau anaejua hoteli au lodge nzuri ya kuchili na familia msimu wa Desemba anipe machimbo.

Price isizidi laki Kwa siku. December hii sisafiri pia hatutaki kashi kashi.

Asante.

NB. Ikiwa Dar iwe sehemu isiyo na makelele.
mnaenda Sasa kutumia pesa mulizo ibia Serikali? wakati raia wanakosa madawa nyinazitumbua sasa.
 
Nimecheck hapa naona iko hivyo usemavyo lakini last time haikuwa expensive

Jaribu kufanya mawasiliano na sehemu hizo maana utapata "fam rooms" kutoka na umri pia so watahitaji idadi,umri ili wafahamu wanakupa vipi kutokana na offer yao

Pia nimeangalia naona zipo nyingine lakini baadhi ya details zimefichwa so jaribu kuwasiliana nao,na nimeona firefly inacost 41 USD (2 beds in dorms) kwa 1 night.
Hii ya 41 USD itakua mpango mzima. Ngoja nitawasiliana nao direct
 
Naweka kambi hapa…
Baecation
Vacation
friendcation
Ndo vitu nipendazo… 🔥🔥
Nakupa pendekezo la Baecation kwa bagamoyo

Mfike Lazy lagoon, only 35 USD per 1 night ila sijui kama kuna mabadiliko.. nilifika kwa bei hiyo 2021

Boat kwenda 15,000 Tsh-nakumbuka tulipandia chuo cha uvuvi,karibu na bandari ya wachina
 
Back
Top Bottom