Natafuta lodge au hoteli nzuri ya kukaa na familia Bagamoyo kwa wiki moja

Hotel nzuri siyo rahisi kupata kwa laki au chini ya hiyo. Kwa bei unayotaka ni kuangalia aidha one- or two-star hotels ama lodges/guest houses.
 
Guest house na familia si itakua msala labda tukae two days badala ya siku sita
 
Wadau anaejua hoteli au lodge nzuri ya kuchili na familia msimu wa Desemba anipe machimbo.

Price isizidi laki Kwa siku. December hii sisafiri pia hatutaki kashi kashi.

Asante.

NB. Ikiwa Dar iwe sehemu isiyo na makelele.

Cheki familycottage ni pazuri pametulia wacheki insta wakupe package zao ila room per day ni kuanzia 200k
 
Wanatumia jina hilo family cottage siwapati
 
IMG_0099.jpg
 
Back
Top Bottom