Natafuta lodge au hoteli nzuri ya kukaa na familia Bagamoyo kwa wiki moja

Natafuta lodge au hoteli nzuri ya kukaa na familia Bagamoyo kwa wiki moja

Kama mfuko upo poa nenda lezy laguni.

Pia funck squad iko poa sana na swimming kuubwa,, vile vile kwa lodge zipo nyingi na nzuri kwa kuanzia na tsh 50 elf.

Kama upo na watoto fika pale.. Kuna michezo ya watoto na swimng ya maana
 
Inaitwaje hii niitegee siku hata easter
Hauna vigezo au kwa sababu n apartment basii na price n cheap we n sawaa tuu iko barabara ya sanawari (barabara ya moshi /arusha).
 
Back
Top Bottom