Natafuta male friend

Natafuta male friend

Good lucky man! elfu.

asante sana mkuu. lakini huyu Latoya anaonekana ana mambo ya kitanzania sana. Nashangaa hadi sasa hivi hajajibu pm yangu, nahisi huyu binti ana macho mia mia ndo maana anakosa msimamo lakini sikati tamaa. mia
 
Last edited by a moderator:

Labda kashapata.
mia
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa mimi ni binti wa mid 20's natafuta mwanaume wa kunipa kampani,ni strictly kampani no sex involved.niko lonely nahitaji mwanaume wa kuwa karibu nami kama rafiki na kuspend time especialy weekends.maelezo mengine nitayatoa pm kwa interested person.

Costs sharing?
 
Hehehe hawako serious c wajua vijana tena? Real am looking for a male friend and nothingelse
^^
You can't be serious,
Siamini binti wa mid 25 uwe mpaka sasa hujapata..
Chezea PM za Jf !!
^^
 
Hehehe hawako serious c wajua vijana tena? Real am looking for a male friend and nothingelse

^^
Pengine hawako serious na urafiki kutokana na vigezo unavyotaka wewe kutokuwa wazi.
Sidhani kama ni just urafiki tu wa kubadilishana mawazo,kushauriana ktk maisha,kazi n.k akose! Mimi mwenyewe nimesita ku PM kwa sababu kama hao wameshindwa basi Vigezo na mashariti ni too strict!
^^
 
Kama nilivyosema i just need a male friend,ila mie nko strict sana kwenye appointment wengi panawashinda hapo nimeamua kuweka mikono chini na kuendelea kuwa bize na kazi yangu

ayaaaaaa. . . . . . .mtoto mzuri no bhana usiweke mikono chini, kabla hujafanya hivyo, try me at last!
 
^^
Pengine hawako serious na urafiki kutokana na vigezo unavyotaka wewe kutokuwa wazi.
Sidhani kama ni just urafiki tu wa kubadilishana mawazo,kushauriana ktk maisha,kazi n.k akose! Mimi mwenyewe nimesita ku PM kwa sababu kama hao wameshindwa basi Vigezo na mashariti ni too strict!
^^

mwenzako nimeona nijitose, sasa hv nipo pm nabeng' na Latoya, mbona anaonekana mtu poa sana!
 
Last edited by a moderator:
Kama nilivyosema i just need a male friend,ila mie nko strict sana kwenye appointment wengi panawashinda hapo nimeamua kuweka mikono chini na kuendelea kuwa bize na kazi yangu

^^
Ahaa kumbe unataka marafiki ambao ni wa karibu nawe I thought ni distant friendship Kama kuna appointment za kijiografia hapo hata mimi sina kigezo.
Msikilize TheDealer.
^^
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru wote mlonipm ntajibu kadri nipatavyo nafac,ila niko serious kuwa sex is not part ya hyo friendship,nataka rafiki only,waweza kuwa na mtu wako wa kungonoka naye ila kwangu ni friendship only,kama unania ya ngono naomba ukae pembeni tu

Unachokitaka kiko practically impossible! A male friend so close......! Unatoka nae wk moja baada ya nyingine! Hakuna r/ship za hivyo! You can only stay like that with your sister or brother!!

Sema unachotakiwa kukifanya!! Which I understand ni kwamba you definitely need a male companion. Something which can work ni kuweka hivo vigezo mbele kabisa Kwamba I we need to know each other! Mutual understanding leads to mutual respect which leads to Love!

Vinginevyo hao wanaume wote walioku PM wanataka kukugegeda tu! Utawatambua kwa matendo yao!
 
Wapendwa mimi ni binti wa mid 20's natafuta mwanaume wa kunipa kampani,ni strictly kampani no sex involved.niko lonely nahitaji mwanaume wa kuwa karibu nami kama rafiki na kuspend time especialy weekends.maelezo mengine nitayatoa pm kwa interested person.

kaz kwako niandikie email kupitia.chiefmwalivale@gmail.com
 
Am here plz cnnect wth me through 0682604363 hayo yote mi naweza na nilikuwa long tyme nafuta friend lyk ww ckuwah kufanikiwa plz i cn to b wth u as a friend!
 
Back
Top Bottom